Mahekalu ya maaskofu kufuru

Huyu ni mjinga.
Eti kumtumikia Mungu kuna faida.
Faida ipo ila sio hii ya kuwaibia watu on terms of sadaka.
Hawa ndio wale wapumbavu wanaotuma sadaka kwenye account yenye jina la mtu huku wakijidanganya kuwa wanamtolea Mungu.
Accounts zote za kanisa wenye access ya kutoa au ku transfer pesa ni mke na mume tu lakini lijinga limoja linajitapa baba askofu kainuliwa na Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…