Mahesabu ya zuzu na mkewe

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Zuzu alioa mke mwerevu sana. Mara baada ya miezi minne na nusu mke aka zaa. Zuzu akazusha kweli:
Mume: Nitakupa talaka uende kwenu. Utazaaje mtoto baada ya miezi minne na nusu. Kwani ni kuku wa kizungu!
Mke: Mswalie mtume mume wangu, hebu kaa chini tufanye hisabu.
Wewe tangu unioe ni miezi mingapi?
Mume: Minne na nusu tu!
Mke: Na mimi tangu niolewe ni miezi mingapi?
Mume: Minne na nusu!
Mke: Sasa "nne na nusu na nne na nusu"total ni miezi mingapi?
Mume: Loooooo sorry darling, wallahi nilikua nisha kudhania vibaya.
 
Zuzuuuu tisha sana
 
kwe kwe kwe..
hesabu inawenyewe
 
Haponkwenye "mswalie mtume"ndo ulipo haribu wanakuja.!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…