MaHessy Na Gangsters

Okay Kaka. But Vipi Kuhusu Hayo MaCopper Za MaHessy. Mi Naona Ni Hatari.
Nimeshindwa kuchop hizi comments zako juu ya vile unazichora. Niaje unamix CAPITAL letters na small letterz hiyo njaro? Inaboo.
 
nami nimeuliza swali hamjanijibu....mbona mna interest sana na Kenya? and watch ur mouth my frend...usiingilie mambo yasiyokuhusu....bwege idiot fool matako ww
hasira za kike hizo.aibu kwa mtoto wa kiume kupatwa na jazba kwa jambo ndogo namna hii.

nina wasiwasi na jinsia yako.haupo sawa "huko nyuma".[emoji23] [emoji23] [emoji115]
 
nami nimeuliza swali hamjanijibu....mbona mna interest sana na Kenya?
jibu la swali lako hili hapa [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
yea juan kuna madingo waangushwa wakizidisha ufala thats afact siezi support mwizi mimi imagine kakijana kapienga ka 12yrs kanakuibia na gun no second thoughts ukikataa kanakulisha dengu
 
invest in a good collection of movies and series that relate with crime and investigation.
 
invest in a good collection of movies and series that relate with crime and investigation.
kuna programme fulani niliondokea kuipenda sana iliyoitwa MEDICAL DETECTIVES...yani wale jamaa hutumia ujuzi wa hali ya juu sana kufata ushahidi katika crime scenes...sijui kama bado inapeperushwa...ni katika etv..pia ungemshauri afatilie story za crime kwenye listverse.com....wanaandika vizuri sana pia
 
Kumbe Fans Wa Listverse Tuko Wengi. Nashangaa Watu Hawako Na Idea Na Hiyo Kitu. Very Helpfull And Simple. Soon Mtaona 10 Kuhusu Tz Bcoz Izo 200 USD Nazitaka Sana. Am Working On That. Cant Spend A Day Bila Kuingia Listverse.
 
invest in a good collection of movies and series that relate with crime and investigation.
Okay My Friend. I Do That. But Napenda Pia Kufuatilia Hizi Real Life Events.
 
kazi kwako mkuu...ukiambulia kitu hapo utakuwa tayari umepata jawabu zote unazohitaji [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji125]
Iyo Ni Ngori. Mpaka Nikae Chini Na Nitulie Labda Ntaelewa Maana Kuna MaSlangs Hapo Sijawah Kusikia
 
yea juan kuna madingo waangushwa wakizidisha ufala thats afact siezi support mwizi mimi imagine kakijana kapienga ka 12yrs kanakuibia na gun no second thoughts ukikataa kanakulisha dengu
Sasa Why Are Guns That Easily Accesible Huko Kenya. Tena Kwa MaKids Hata Hawajamaliza School.
 
Here As We Are Speaking NimeJoin Kwa Izo Groups Za MaHessy Na KuwaAdd Plus KuwaFollow Twitter Nisipitwe Na Updates...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu mbona unaharibu lugha yetu ya taifa?
 
Eish! Hiyo sasa ni simu aina gani? Nimepitia tu juu juu hiyo comment yake ya first, nikaachana nayo.
Nadhani simu nyingi za android zina huo uwezo, sina hakika sana na simu za IOS
 
Okay My Friend. I Do That. But Napenda Pia Kufuatilia Hizi Real Life Events.
what do you mean Real Life Events? crime iko kila mahali... mbona uConcentrate na issues za Kenya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…