Thanks Man. Uyo Jamaa Sijui Ni Vipi.Mi Nimekua Naifuatilia Kenya Tangu Enzi Nakua Kwakuangalia Kina Mzee Ojwang Na Yule Mfupi Na Kina Othorong'ong'o. Pia Igizo La TAUSI Kina Siti,Lindi,Baraza N.k. Niliachana Na Kufuatilia Izo Mambo Mpaka Kipindi Ile Ya Violence Za Uchaguzi, Nlisikitika Koz Ni Majirani And Niliogopa Na Sisi Isije Ambukiza. Mohamed Ali Ndo Alinifanya Niwe Interested More Hasa Investigative Articles Zake About Crime Na Mambo Za Rushwa Koz I Wish Na Tz Tungepata. Alikuepo Mmoja (Jerry Muro) Alianza Ivyo Wakammada Na Kesi Ya Corruption Akaacha Na Kutangaza. I Just Love Kenya But To He Honest Im Afraid Koz Hapo Nai Inaonekana Kuna Mambo Mob Sana Yanaendelea Alafu Kuuana Nje Kwa Nje. Ndo Sasa Izi Mambo Za Hessy. Duh. Moha Na Yule Jamaa Ake Anawekaga Kwa English Ndo Wamenfanya Nimekua Nafuatilia Sana Izo Habari. I Loved Jinsi Wamefuatilia About The George Saitoti Death Kitu Ambayo Naweza Sema Ilinifanya Nijiulize Kuhusu Mbunge Mmoja Tz Alikufa Kwa Crash Ya Helicopter Kama Saitoti. Sidhani Kama Kuna Ubaya Kujua Mambo Za Kenya Namna Hiyo Waseee!