johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Holili siyo Holoholo bwashee!Wewe Jana si ulifungua Uzi ukisema shigella kakwambia mahindi hayajazuiliwa wamepitisha tani 570, mbona sikuelewi tena kwa Uzi huu. Very contradictory bwashee
Hivi Tanzania kuna waziri wa biashara?!Corona, Nzige, mahindi kukwama mipakani. Ninashauri tena na tena Prof Adolf Mkenda waziri wa Kilimo maliza hii jam ya mahindi kukwama mipakani. Sasa hili ni Rombo na ni jimbo lako.kazi kwako
Tatizo la kunywa serengeti lager kabla hujaingia JFYWewe Jana si ulifungua Uzi ukisema shigella kakwambia mahindi hayajazuiliwa wamepitisha tani 570, mbona sikuelewi tena kwa Uzi huu. Very contradictory bwashee
Hivi Tanzania kuna waziri wa biashara?!
Nimefurahi kusikia " yalipimwa Tanzania yakaonekana yapo salama"
Sio 15 tunyooke vizuri?Mitano tena.
Anaitwa nani?Hivi Tanzania kuna waziri wa biashara?!
Kwani kuna ugumu gani kuelewa.Na hii si kweli!! Sijui uongo unasaidia nini!! EAC customs zina model ya OBP (one border post) so mambo yote ya customs yanafanywa na upande amabzo bidhaa zinaingia. Na kawaida mwenye dhamani na quality assurance ni anayefanya importation! Tanzania haiwezi kupima mahindi yaliyo katika magari yaliyo upande wa Kenya!!
🐸 watanunaMahindi nayo yamekuwa kama YANGA hayatoboi Kenya
Kama vipi tufanye ufalme kabisa.Sio 15 tunyooke vizuri?