Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya

Mahindi tani 260 kutoka Tanzania yakwama mpaka wa Holili upande wa Kenya

very safe and sound. Kuna mambo mzee baba anawapa watu suprise sana...ndio maana wanaanza kupiga ramli za kigiriki
Hujaweka ushahidi bado, wewe ndiye unayepiga ramli.

Fact.

Magufuli hajaonekana hadharani wiki ya pili sasa.
 
Hivi jumuiya sijui inamatatizo gani nini kinawashinda Nchi wanachama kuweka maabara za jumuiya ambazo zitakuwa zikipima mazao na Chakula
 
Back
Top Bottom