lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 257
- 922
Nimesikiliza mahojiano ya mwenyekiti wa BAVICHA Wakili Mahinyila akiwa Wasafi fm kipindi cha jana na leo nimefadhaishwa sana. Kijana ameshindwa kabisa kuelezea sera za chadema. Najiuliza amepatwa na nini? Hakujiandaa au uwezo ndiyo shida?
View: https://www.instagram.com/reel/DdZauZWhYrV/?stkn=MTVyNXNub2todmkzag==
View: https://www.instagram.com/reel/DdZauZWhYrV/?stkn=MTVyNXNub2todmkzag==