lord atkin
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 257
- 922
ndio nani huyo gentleman?🐒Nimesikiliza mahojiano ya mwenyekiti wa BAVICHA Wakili Mahinyila akiwa Wasafi fm kipindi cha jana na leo nimefadhaishwa sana. Kijana ameshindwa kabisa kuelezea sera za chadema. Najiuliza amepatwa na nini? Hakujiandaa au uwezo ndiyo shida?
View: https://www.instagram.com/reel/DdZauZWhYrV/?stkn=MTVyNXNub2todmkzag==
Kazi ipo kwelikweli, chademaaaaaa!! Swali dogo tu la tofauti yenu na CCM na zipi ni sera zenu tofauti na CCM shughuli ikawa kubwa kwa kijana.Nimesikiliza mahojiano ya mwenyekiti wa BAVICHA Wakili Mahinyila akiwa Wasafi fm kipindi cha jana na leo nimefadhaishwa sana. Kijana ameshindwa kabisa kuelezea sera za chadema. Najiuliza amepatwa na nini? Hakujiandaa au uwezo ndiyo shida?
View: https://www.instagram.com/reel/DdZauZWhYrV/?stkn=MTVyNXNub2todmkzag==