Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la CHADEMA (BAVICHA), Deogratius Mahinyila, ameeleza kuwa chama chake kinastahili kuwepo Ikulu kuongoza nchi kutokana na kuungwa mkono kwa kiasi kikubwa na wananchi.
“CHADEMA kimestahili kuwa chama ambacho, kama kungekuwa na uwanja sawa, maana yake CHADEMA ingeingia Ikulu siku nyingi sana. Mimi nitakutolea tu mfano namna ambavyo CHADEMA tuna wajibu; wajibu wa kimaadili na wajibu wa hali ilivyo kwamba tunapaswa kuwepo Ikulu.”