Kwenye usimamizi nitakuwepo mkuu.muda mwingine jiongeze mkuu. Fundi anayefanya kazi ndie anafaham mpangilio wa nyumba yako . sie tutaishia kupiga porojo tu. kama humuamini hakikisha kunakuwa na usimamizi wa vifaa endapo kama unachohofia ni wizi . vifaa vikibaki ni vyako
Kasahau waya wa kutoa umeme Toka kwenye mita na wa jikoni fundi wako mdwanzi hata wa earth hajaweka.... mkumbushe aongeze usije kupata hasara kesho...Waheshimiwa, baada ya kukamilisha hatua ya kuchimbia bomba ukutani,
Sasa Fundi umeme amenipa mahitaji ya wiring kama ionekanavyo hapa chini.
Kwa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning room na jiko,
Kiasi Cha wire wa milimita 1.5 = mita 250,
Na milimita 2.5 = mita 70,
Ni sahihi?
View attachment 2172402
Angalia kuna mafundi wajanja wanapokuwa darini huwaoni huwa wanazungushia waya kiunoni. Siyo rahisi kuona au kugundua.Kwenye usimamizi nitakuwepo mkuu.
Kwenye 2.5 yuko sahihi ila hapo kwenye 1.5 wire utabaki kidogoWaheshimiwa, baada ya kukamilisha hatua ya kuchimbia bomba ukutani,
Sasa Fundi umeme amenipa mahitaji ya wiring kama ionekanavyo hapa chini.
Kwa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning room na jiko,
Kiasi Cha wire wa milimita 1.5 = mita 250,
Na milimita 2.5 = mita 70,
Ni sahihi?
View attachment 2172402
Mafundi wangese wakiona unamsimamia anaacha wire juu darini siku ingine au siku anakuja kumalizia finishing ndio anaondoka nao kuilainiKwenye usimamizi nitakuwepo mkuu.
Mkuu wewe unaona kama umepigwa au?Waheshimiwa, baada ya kukamilisha hatua ya kuchimbia bomba ukutani,
Sasa Fundi umeme amenipa mahitaji ya wiring kama ionekanavyo hapa chini.
Kwa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning room na jiko,
Kiasi Cha wire wa milimita 1.5 = mita 250,
Na milimita 2.5 = mita 70,
Ni sahihi?
View attachment 2172402
Mnawasingizia huo waya unauzwa bei gani hadi ahangaike hivyo?Mafundi wangese wakiona unamsimamia anaacha wire juu darini siku ingine au siku anakuja kumalizia finishing ndio anaondoka nao kuilaini
1.5 hapo ila 2.5 unagawa kwa mbiliUkizidisha x 2 unapata nini: urefu wa 1.5 ? 2.5?6mm? 10mm? Urefu wa earth wire au nini?
Bado utahutajika kuongeza waya mkuu,Vyumba vyote vinafanyiwa wiring mkuu.
Kwa ukubwa wa nyumba ya Jamaa,Kwenye 2.5 yuko sahihi ila hapo kwenye 1.5 wire utabaki kidogo
Bomba ziliingia ngapi?Waheshimiwa, baada ya kukamilisha hatua ya kuchimbia bomba ukutani,