kukuelewa hapa kaz ipoJua unataka nini na nini kinatumia umeme kwako, kama vipi pima mwenyewe futi unayo, ila mafundi waya hupiga mahesabu ya kubakiza waya ili wauze
Lokaly estimation
Chukuwa futi
Pima kimo cha nyumba hdi ktk kenchi juu kabisa,*idadi ya vyumba, pima upana wa nyumba mara idadi ya vyumba, pima urefu wa nyumba mara idadi ya vyumba, jumlisha alafu zidisha kwa 2
Hapo kwenye mita mita 250 ni sawa na rola 2 na nusu yake,ila hapo kwenye waya wa 2.5 kwa mita 70 ni kama ndogo kwa vyumba vitatu.....ila inawezekana unataka tu kuingiza umeme kisha baadae ndio uje ufanye finishing ya mwishoWaheshimiwa, baada ya kukamilisha hatua ya kuchimbia bomba ukutani,
Sasa Fundi umeme amenipa mahitaji ya wiring kama ionekanavyo hapa chini.
Kwa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning room na jiko,
Kiasi Cha wire wa milimita 1.5 = mita 250,
Na milimita 2.5 = mita 70,
Ni sahihi?
View attachment 2172402
hana haja ya kuzunguka na futi kama nyumba yake inaraman yenye vipimo ,kupitia raman tu utajua unahitaji waya kiasi ganiJua unataka nini na nini kinatumia umeme kwako, kama vipi pima mwenyewe futi unayo, ila mafundi waya hupiga mahesabu ya kubakiza waya ili wauze
Lokaly estimation
Chukuwa futi
Pima kimo cha nyumba hdi ktk kenchi juu kabisa,*idadi ya vyumba, pima upana wa nyumba mara idadi ya vyumba, pima urefu wa nyumba mara idadi ya vyumba, jumlisha alafu zidisha kwa 2