Mahitaji kufungua ofisi ya dry cleaner

Mahitaji kufungua ofisi ya dry cleaner

Gini

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2018
Posts
398
Reaction score
385
Habari wana Jamvi. Natumai mu wazima. Lengo la uzi huu ni kuomba kujua kwa mwenye uzoefu juu ya Biashara ya Ufuaji nguo na upigaji pasi (Laundry & Dry Cleaning Business).

Ukiwa katika Jiji la Dar es Salaam kwa mfano, unahitaji vifaa vya namna gani na mtaji wa shilingi ngapi za Kitanzania ili uweze kuanzisha biashara hii.

Nakaribisha watu wote, wenye uzoefu na Biashara hii kunipa mwanga na nini nahitaji kuwa nacho ili kufanikisha kuanzisha hii Biashara.
 
Mkuu mimi sina uzoefu na hiyo biashara ila ukishajipanga unaweza kunicheki nikuagizie laundry machines(Mpya au used),niko Dubai.
Whatsapp:+971527794329
 
Back
Top Bottom