Gini
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 398
- 385
Habari wana Jamvi. Natumai mu wazima. Lengo la uzi huu ni kuomba kujua kwa mwenye uzoefu juu ya Biashara ya Ufuaji nguo na upigaji pasi (Laundry & Dry Cleaning Business).
Ukiwa katika Jiji la Dar es Salaam kwa mfano, unahitaji vifaa vya namna gani na mtaji wa shilingi ngapi za Kitanzania ili uweze kuanzisha biashara hii.
Nakaribisha watu wote, wenye uzoefu na Biashara hii kunipa mwanga na nini nahitaji kuwa nacho ili kufanikisha kuanzisha hii Biashara.