Mahitaji maalum ndani ya bunge la katiba

Mahitaji maalum ndani ya bunge la katiba

Alfred Daud Pigangoma

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2009
Posts
1,833
Reaction score
972
Wadau,

Muda huu ninaangalia Bunge maalum la Katiba lenye uwakilishi wa makundi mbalimbali.

Kwa mujibu wa kanuni za Bunge hilo zinatambua tu watu wenye mahitaji maalum ambao ni walemavu wa ulemavu unaoonekana kama Ulemavu wa Macho, Viungo, Ngozi, Wazee, wanawake wajawazito n.k

Swali langu je wanaosinzia Bungeni mara kwa mara kama akina - Komba na wale wenyevitambi ufisadi wao sio kundi lenye mahitaji muhimu? na kama ndvyo hivyo kuna jitihada gani kulitambua rasmi kundi hili?
 
Bora anaesinzia kuliko anaesema Uongo
 
Back
Top Bottom