Tuta Absoluta Kantangaze
Member
- Nov 2, 2023
- 91
- 266
Siku hizi ram zina bei Sana huko Duniani, hio laki 5 anaweza hata ram hio 32GB asipate. Ila kibongo bongo desktop mtumba bado bei ipo vizuri.Naomba msaada please Bwana Mdogo anahitaji kubuild workstation but budget ya kuanzia anasema ana tsh 500,000. But kila after two weeks atakuwa anapata tsh 500,000. Je aanze na nini kwa hii tsh 500,000 ya kwanza.
Msaada kwa wataalamu. Akina Mwl.RCT Chief-Mkwawa na wengineo please
View attachment 3548110
Siku hizi ram zina bei Sana huko Duniani, hio laki 5 anaweza hata ram hio 32GB asipate. Ila kibongo bongo desktop mtumba bado bei ipo vizuri.
Ushauri wangu tafuta workstation hapa hapa bongo za kina HP Na dell, ukipata workstation za Xeon itakua Mali Sana za karibuni ila hata hizi consumer Cpu ni Sawa, cha muhimu ni kutafuta desktop ambayo in power supply kubwa ili isikulimit kwenye GPU.
Dell Vostro za hio gen ya 10 rahisi kupata mtaani sometime chini ya laki 3, sema PSU itabidi ubadili mwenyewe.
Dell precision 3630 niliwahi ziona, hizi ni full workstation, zinakubali Xeon, ni gen ya 8 Ila zisikupe shida Sana sababu kuna Xeon equivalent ya i9 9900 ambazo zina nguvu kuliko gen ya 10 i7. Bei zake ni kwenye laki 3 Hadi 4.
Option nyengine ni kununulia Kenya hizo Ryzen, naona HP pro desk zenye PSU 400W na Ryzen 2600/2700/3600 around laki 4 ya kibongo, hio PSU haikubali GPU kubwa ila Rtx xx60 series zinakaa bila shida ama hio gtx 1660.
Kwa Dar kuna duka au maduka unaweza pendekeza?Siku hizi ram zina bei Sana huko Duniani, hio laki 5 anaweza hata ram hio 32GB asipate. Ila kibongo bongo desktop mtumba bado bei ipo vizuri.
Ushauri wangu tafuta workstation hapa hapa bongo za kina HP Na dell, ukipata workstation za Xeon itakua Mali Sana za karibuni ila hata hizi consumer Cpu ni Sawa, cha muhimu ni kutafuta desktop ambayo in power supply kubwa ili isikulimit kwenye GPU.
Dell Vostro za hio gen ya 10 rahisi kupata mtaani sometime chini ya laki 3, sema PSU itabidi ubadili mwenyewe.
Dell precision 3630 niliwahi ziona, hizi ni full workstation, zinakubali Xeon, ni gen ya 8 Ila zisikupe shida Sana sababu kuna Xeon equivalent ya i9 9900 ambazo zina nguvu kuliko gen ya 10 i7. Bei zake ni kwenye laki 3 Hadi 4.
Option nyengine ni kununulia Kenya hizo Ryzen, naona HP pro desk zenye PSU 400W na Ryzen 2600/2700/3600 around laki 4 ya kibongo, hio PSU haikubali GPU kubwa ila Rtx xx60 series zinakaa bila shida ama hio gtx 1660.
Huwa natumia Facebook marketplace then Chukua namba halafu mpigie muuzaji akupe location ya duka.Kwa Dar kuna duka au maduka unaweza pendekeza?