kambitza
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 2,045
- 1,320
Sana hiyo ndiyo shida. Sawa kila la kheri mkuu.Asante nitafanya hivyo kiongozi mana nilizoea kutoa mfukoni lakini kuna kipindi mambo yanaingiliana na mfukoni unakuta umebakiwa na hela ndogo ila hi itasaidia sana