Mahmoud Thabit Kombo Aandaa Futari Maalum kwa Watumishi wa Wizara Kuimarisha Mshikamano wa Ramadhani Jijini Dodoma

Mahmoud Thabit Kombo Aandaa Futari Maalum kwa Watumishi wa Wizara Kuimarisha Mshikamano wa Ramadhani Jijini Dodoma

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Tarehe 25 Februari 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, aliandaa futari maalum kwa watumishi wa Wizara jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mshikamano, upendo na ushirikiano mahali pa kazi katika kipindi hicho cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
 

Attachments

  • IMG-20260304-WA0058.jpg
    IMG-20260304-WA0058.jpg
    461.4 KB · Views: 22
  • IMG-20260304-WA0065.jpg
    IMG-20260304-WA0065.jpg
    532.5 KB · Views: 27
  • IMG-20260304-WA0064.jpg
    IMG-20260304-WA0064.jpg
    517.9 KB · Views: 21
  • IMG-20260304-WA0059.jpg
    IMG-20260304-WA0059.jpg
    351.2 KB · Views: 20
  • IMG-20260304-WA0063.jpg
    IMG-20260304-WA0063.jpg
    501.6 KB · Views: 20
  • IMG-20260304-WA0062.jpg
    IMG-20260304-WA0062.jpg
    604.5 KB · Views: 20
  • IMG-20260304-WA0050.jpg
    IMG-20260304-WA0050.jpg
    362.5 KB · Views: 24
  • IMG-20260304-WA0052.jpg
    IMG-20260304-WA0052.jpg
    538 KB · Views: 20
  • IMG-20260304-WA0066.jpg
    IMG-20260304-WA0066.jpg
    569.9 KB · Views: 18
  • IMG-20260304-WA0068.jpg
    IMG-20260304-WA0068.jpg
    644.9 KB · Views: 19
Wanapitia nyakati ngumu sana aisee , yaani uongozi wao umekuwa kama ndoa za mkeka , haina shhamrashamra kabisa ,popote wanapoongea wanaishia kufurahiwa na wake zao tu 🤣🤣
 
Tarehe 25 Februari 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, aliandaa futari maalum kwa watumishi wa Wizara jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mshikamano, upendo na ushirikiano mahali pa kazi katika kipindi hicho cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Maiti za waTanzania waliouliwa inawasuta hata wajisahaulishe vipi.

Huwezi kuwa na amani moyoni, na kujifanya mcha Mungu baada ya matendo ya kiovu kabisa dhidi ya binaadam wenzenu.

Huyo mungu wenu mnayemdanganya na kujifanya kwenu kuwa watu wema mbele zake atakuwa ni mungu wa matatizo huyo.
 
Nguruwe hawa wanapitia nyakati ngumu sana aisee , yaani uongozi wao umekuwa kama ndoa za mkeka , haina shhamrashamra kabisa ,popote wanapoongea wanaishia kufurahiwa na wake zao tu 🤣🤣
Hata wake zao hawawafurahii hawa mashetani; pengine watakuwa wanafurahia kinachopelekwa nyumbani tu basi!
 
Tarehe 25 Februari 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, aliandaa futari maalum kwa watumishi wa Wizara jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mshikamano, upendo na ushirikiano mahali pa kazi katika kipindi hicho cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Huyu mtoto wa Thabit Kombo,utadhani sio muislamu,haya yote ya nini?
 
Back
Top Bottom