Mahojiano na mchumba wa Lady Jaydee, asema wana mipango mizito

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Mchumba wa Lady Jaydee kutoka Nigeria amesema anaitwa Spice kutoka Nigeria amesema yeye ni mwanamuziki na wanampango wa kufanya mambo makubwa na ady Jaydee ambayo hakuyataja ila akasema watu watarajie
Amesema anampendea lady JD kwa kuwa yupo simpla na mnyenyekevu na japokuwa anatabia ya kununanuna ana dawa yake
 
Ata ungekua wewe halafu ni muhb ningekupost [emoji28] [emoji28] [emoji28]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Uzuri mi nna sura ya kazi, mdogo wake na wasira.

Sema huyo jamaa sioni kama ni kama unavomzungumzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…