Mahojiano na mchumba wa Lady Jaydee, asema wana mipango mizito

Mahojiano na mchumba wa Lady Jaydee, asema wana mipango mizito

Akiondoka tunatoa single moja matata sana wewe usijali haina shida hiyo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio maana nilisema afanye kimya kimya halaf sku akiibuka ni ndoa moja kwa moja ila hii show off ni shda sasa
 
Project inaendelea, mkojozaji hakufaulu kutoa matunda, ngoja tuone huyu
 
Hongera jay dee ni uamuzi wako usikilize moyo wako ni nzuri sana Hugo kaka chukua taadhari hakuna kizur kikakosa kasoro.
 
All the best jide cha msingi ni kuwa makini maana matapeli ni wengi hasa kwa wadada wenye pesa kama wewe.kingine jitahidi kutokuanika sanaaaa uhusiano wenu
 
Hongera Lady JD jitahidi mambo yako usiayaandike sanaa..mwombe Mungu huyu mtu awe mtu mzuri kwako asikuumize/usimuumize na ujitahidi kuwa mchumba mwema na mwisho mke mwema mambo ya mahusiano ni siri ya ndani Mungu akubariki
 
Back
Top Bottom