Mahojiano na mchumba wa Lady Jaydee, asema wana mipango mizito

Hizi figisufigisu za huyu dada mi nishazichoka. akipata bwana akae kimya, maana naona kama wanaonyesheana kwamba ukiniacha basi napata mwingine next level
Kwani amekuja kukuonyeshea kwenu?au wewe ulipoona uzi unamuhusu ukaja mbio na kiherehere chako cha umbea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…