N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 8,308
- 12,812
Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts.
Mahojiano haya yana facts za kutosha tu. Ila nilichobaini watanzania wengi hasa wakata ufuta ni wabaguzi sana na wana chuki hasa mtu wanaemkosoa ni mtanzania asie na ngozi nyeusi. No wonder wadosi wameamua kujitenga sababu wabongo tuna chuki zisizo kifani!
Nimesoma bayografia ya Nyerere waliyoandika akina Professor Issa Shivji wanasema Nyerere alipingana sana na wabaguzi wa kibongo na baadae watanzania wenye rangi isokuwa nyeusi wakaamua kujitoa kwenye siasa na uongozi wa kitaifa wakaamua kutimkia kwenye biashara, sababu ndani ya chama kulikuwa na njemba zina ubaguzi usiomithirika. Ajabu huko nako bado wanasakamwa bila wasakamaji kuweka facts, wanaongea hisia tu.
Tafuta facts, jenga hoja. Tuache chuki na ubaguzi kwa watanzania wenzetu.
Kuna wakati naamini kwamba ukiwa mkata ufuta unakuwa na roho mbaya sana hasa ya kuwachukia wenye nacho.
Weka ugoko niweke jiwe.