miss charming
JF-Expert Member
- Dec 3, 2016
- 910
- 905
[emoji1] [emoji1] [emoji1] ndo maisha tuliofikia wabongoEti mpaka amkubali instagram na clauds ndo anakua baba,kumuhudumia na kukubali wakiwa wenyewe ni mbwembwe tu
Diamond hakumkana mtoto na ndio maana alikua anamuhudumia.hamisa alitaka tu sifa kwamba na yeye ni mwanamke kazaa na dai wakati dai hakuona umuhimu wa kupiga tarumbeta maana ni maisha yao na sio ya wengineNa ndilo Diamond alitakiwa afanye kukubali au kukaa kimya badala ya yeye na mzazi mwenzie Zari kumshambulia Hamisa mitandaoni suala la kumtunza mtoto sio hisani asipofanya hivyo kwa hiali basi sheria itamlazimisha
Yeye ni baby mama tu mwenzie ni mwandani wake hawawezi kuwa sawa.... binafsi naumia tu Yule mtoto wa majizzo hana mama hapo.... ataishia kuwa kama mama na bibi yakeAkili ni nywele na hamisa ndio kaamua kuwasikiliza walimwengu, katika maisha usijifananishe case yako na ya mwingine eti kisa zari anapewa $2500 per month na yeye anataka hahah doh
aAlimuita hivo baada ya hamisa kuanzisha kutimtim insta kwan angekaa kimya angetukanwa SAA ngap hamisa ndo zile type za wanawake akitembea na MTU fulan anaenda jitangazia
Shoga ww, hii ni platform ya kupotezea stress wengine kazi ni shift za usiku
Pata picha wewe ni Mama yake Himisa na unao ndugu zako wanajua bint yako mjamzito the ukiulizwa Mimba ya Dai kesho Dai anakana kwenye public unafikiri Familia inalichukuliaje hili swala.Ila hamisa naye michecheto ilizidi utafikiri mond ndo alimtoa bikira
Kwani analelewa mama au mtoto??? hiyo lifestyle anayotaka asifanye wanae kitega uchumi afanye kazihaaaaaa jamani pozi la laki 2 kweli na kwa life style yake.....
Hiyo ni kwa Mondi tu angekuwa msanii mwengine haswaa huyo Ali Kiba watu wasinge jiangaisha kumtazama.Leo nimeingia ofisi fulani, namtafuta mtu naambiwa yuko staff lounge. Nikaingia huko nakuta kundi nauliza kuna nini mnaangalia kwenye TV ? Naambiwa Diamond anahojiwa Clouds TV.
Nimetoka hapo nimekuja lunch nakuta wafanyakazi wote wamezunguka TV najiuliza hawa vipi nilipoangalia nikakumbuka ni mahojiano ya Diamond!
Hata JF hawako nyuma thread ya hayo mahojiano inakimbia kweli kweli. Ama kweli udaku unapendwa....
Aende kwa Harmorapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa Hamisa atabaki na nani? Kote kaharibu.
Kwa kweliKiba is a gentleman
Angetaka kuwa public asingekubali kufanywa siri toka mimba changa..... yeye alitaka kuwa main chick na kumkomoa mganda mwisho wa siku vyote vimefeli.Pata picha wewe ni Mama yake Himisa na unao ndugu zako wanajua bint yako mjamzito the ukiulizwa Mimba ya Dai kesho Dai anakana kwenye public unafikiri Familia inalichukuliaje hili swala.
Ndo hivyo muache kushabikia mambo msiyoyajua iwe insta au hapa JF.Umeshawahi kuniona natukana au umejisahau kwamba upo Jf ulidhani ni Insta! Sina huo muda wa kumtukana mtu nisiyemjua
Embu nikuulize ni mastaa wangapi wamezaa nje na hatujui baba zao?? Unataka kunambia baba zao hao waliwakan? Hawawatunz? Tatizo ni kwamba hamisa mwenyewe na familia yake ndo walitaka fahari kwamba watu wajue kazaa na mond na ndo alikuwa anaanzisha varangati lote instaPata picha wewe ni Mama yake Himisa na unao ndugu zako wanajua bint yako mjamzito the ukiulizwa Mimba ya Dai kesho Dai anakana kwenye public unafikiri Familia inalichukuliaje hili swala.
inatoshaaa .sio kwa kunivunja mbavu hukundo matokeo ya kula karanga nyingi...kuanzia leo sili karanga zake...[emoji1][emoji1][emoji1]if u know what i mean...
Ustawi wa jamii unarecomend hela ndogo zaidi kuliko ambavyo baba angetoa kwa hiari...... ustawi upo kulinda haki za mtoto zaidi sio maisha ya ufujaji ya mama... kwa sheria ataumia zaidi na mtoto anavyozidi kukua na yeye atazidi kupauka mtoto akianza shule boarding kwisha habari yake sio ulaya hapa....Kila mtanzania na mtu yeyote popote Leo hii anajua mtoto wa Hamisa ni Abdul Naseeb na sio Abdul asiyejulikana. Huo tu ni ushujaa baada ya kukataliwa hadharani na hayo Mengineyo ya matunzo sheria itachukua mkondo wake pale Diamond ataposhindwa kufanya hivyo maana Ustawi wa jamii wapo kwa ajili yao
Ungekua wa Kiume ningekujibu ila hope maumivu ya kukanwa wakati tendo mmefanya wote tena na kutukanwa "MALAY.A anayetafuta jina" kwenye public unayafahamu kama bint.Angetaka kuwa public asingekubali kufanywa siri toka mimba changa..... yeye alitaka kuwa main chick na kumkomoa mganda mwisho wa siku vyote vimefeli.