Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Akili nyingi zipi hizo? Kapewa kila kitu hili akae kimya wakati Diamond akiwalea wote, yeye na mtoto.
Kile kidogo alichokua anapata nacho kimeminywa ndio akili yenyewe? Angekaa kimya akaishi maisha ya kula raha tu
Hata mastaa wakubwa kama C.Ronaldo ,Rooney wanawatoto wengi tu nje lakini mahusiano yao ni ya siri sana.
 
Tatizo lipo hapo kukubali uhusiano wa siri na mume wa mtu au mwanaume wa mtu alafu unategemea mtoto awe public
Jinga kabisa, lingekaa kimya lingeendelea kupendwa na kutunzwa pamoja na mtoto ila kwa kuwa ameleta uswahili atakula 200k ya mtoto kwa mwezi pumbavu
 
Mmh ukijua kufungua zipu ujue na kuwa responsible. Anayeumia hapa ni mtoto asiye na hatia yoyote, na sio hao watu wazima waliokodisha ufahamu wao. Huyo diamond hakujua ana main chick?
kuresponsible ni vipi zaidi ya
1. kumtambua mwanao na kumwita jina la ukoo
2. kumtunza mama yake tangu ujauzito hadi malezi yote ya mtoto. full
3. kuwajibika kuongeza njia ili mama mtoto asipate tabu sana kujifungua.
4. kumtambulisha mwanao kwa ndugu zako woote.

SIYO
1. kuharibu mahusiano uliopo yenye watoto pia, ati kumridhisha aliyeridhia kuwa SIDE CHICK
2. kuzunguka kwenye radios kuelezea habari za wanao na familia yako.


Sielewi kinachowauma ni nini hapa. Mmesema wenyewe mnachotaka nyie ni HELA, wanaume wawape hela ya kutosha. Si mnapewa? Makosa yakitokea kila mmoja anatakiwa kuwajibika. Diamond kawajibika kivyake na kiasi chake na kingetosha kabisa.
 
Nisaidie kumshangaa... wewe mtoto wa monalisa au Odama baba zao unawajua? But behind the scene am sure wanatunza watoto wao na familia inajua.... tatizo Hamisa na mama ake wote wana akili za kimalaya tu
 
Hapo Sasa na hamisa kufanya yt haya kwa sababu ametukanwa cn mitandaon Sion kosa la hamisa kisa tu huduma Kwan ye babake alikuwa anamhudumia mbona amekuwa sasa
 
Kupokea laki tano kwa wki.....

Million 7 kwa jili ya delivery...

Brand nyuu car....

.....na kufanya upumbavu alioufanya....

NI KIELELEZO CHA MWANAMKE PUNGUANI ASI NA MFANO...
Mimi malaya type za hamisa sitaki,kuanzia leo mwanamke akija kwangu simu aache hom kwake.sitaki ushahidi wa hawa wanyama wakali

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Nacho shangaa hapa nmekaa nikapita twita insta na huku naona watu mna diskasi life ya mtu

Hii nchi bwana m naona sawa katiba iwekwe hata lais akae kama m7 tuu
Mnaacha kuwa za logic thing mnadiskas maisha ya mond kweli

This country is rotten
 
Ingekua wewe ungekaa kimya unakula pesa taratibu wakati jamii inajua unamsingizia Dai mimba wakati ameshasema hamjawahi kua japo na mahusiano.
 
Nisaidie kumshangaa... wewe mtoto wa monalisa au Odama baba zao unawajua? But behind the scene am sure wanatunza watoto wao na familia inajua.... tatizo Hamisa na mama ake wote wana akili za kimalaya tu
Kabisa et watu wajue kwahiyo wakijua wanakusaidia nn, tena mwanaume anakwambia mm siwez kuachana na zar hata iweje bado yumo tu
 

Mimi personally, mwanangu atafanywa wa siri only if nimekufa, au kama atamkana mazima kuwa sio baba yake ndo ntamuelewa na sitomuhusisha na mwanangu, sio vya kumkana publicly kwa kejeli afu unakuja kwangu "mwanangu". Yani unikane mbele za watu kuwa mimba si yako, uchane verse mtoto si wako na uniite bitch juu kisa nini? Tena bora angeamua kukaa tu kimya kuliko kumkana publicly. Hamissa hajamkomoa mganda, yeye kaweka facts mezani kuwa ni kweli diamond ndo baba wa mtoto wake, kila mtu apambane na hali yake. For the records mganda ni baby momma tu kuzaa na boyfriend hakuzuii wanawake wengine kuzaa naye, so wote tuzaliage ndoani, simshauri mtu azae na boyfriend wake wala boyfriend wa mtu mwingine . Na ni upumbavu kama Dai alilifanya hilo siri kisa kumuogopa Zari. And yes maybe Hamissa alikubali kufanya hilo siri ila mbeleni kaona anamuumiza tu mtoto wake, tatizo liko wapi? Kwa nini Dai amkatae sasa hivi afu baadaye ndo aje kamkubali? Mlitaka siku Dai amekufa ndo msibani waanze "na huyu ni mtoto wake" eishhhh

Huyo ndugu yako anayetunza kimya kimya, doesn't mean anachokifanya ni sahihi. Kama wanawaogopa wake zao kiasi hicho basi wafunge zipu na sio kuwapa watoto psychological torture. Matunzo kitu gani bana, Utu kwanza. Kama ulilelewa na baba yako kwa upendo na ukawa recognised publicly, utakuwa umeelewa how it feels kutambulika tu "mtoto wa fulani" na kuhave your father's attention anytime you need it. Dai akisema amkomeshe Hamissa kwenye child support, atakayeumia ni mtoto wake and sidhani kama Hamissa atakubali mwanae adhalilike, atamtunza tu kwa hizo 200 zake. Limeshatokea, dai atunze mwanae na mostly important awepo kwenye maisha ya mwanae, that's the best thing any parent can do to his child. Mchana mwema dear
 
Video za chumban na picha za mama Domo amepeleka nani kwa wambea? Domo anasema hata story za siku aliyoenda kulala zinavujishwa
kwanini uhukumu kwamba kavujisha yeye.pia tayari ushasema mimi ni Mayal.a natafuta jina kwenye public how can i prove kwamba ndio wote tulikesea tukachepuka lakini mzigo wa kuchepuka niubebe peke yangu na zaidi wewe pia in public unanitukana.
 
Ungekua wa Kiume ningekujibu ila hope maumivu ya kukanwa wakati tendo mmefanya wote tena na kutukanwa "MALAY.A anayetafuta jina" kwenye public unayafahamu kama bint.
angekua sio hivyo asingekipeleka kipochi manyoya kwa huyo kaka na kubeba mimba juu, kufanya mambo magumu mmeweka makubaliano unayavunja. Mama unatunzwa mtoto anatunzwa familia zote mbili zinajua uwepo wa mtoto unataka nini cha ziada? Mwisho wa siku mtoto hafichiki angejulikana tu sasa mahusiano aliyotaka kuyavunja hayajavunjika anampa tabu mtoto asiye na hatia.
Mwanamke kama huna akili ni hauna tu angekua wa maana ni commercial model mzuri tu angesimamia hapo badala ya kudanga angefika mbali... muonekano anao na lugha haimpigi chenga. Huyu mwanamke, Mungu awalinde hao watoto wasifate hizo akili na baba zao kama wanajielewa wachukue watoto wao mapema kabla hawajakomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…