Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Ingekua wewe ungekaa kimya unakula pesa taratibu wakati jamii inajua unamsingizia Dai mimba wakati ameshasema hamjawahi kua japo na mahusiano.
Ingejua saa ngapi wakati sina mpango nayo hiyo Jamii maana haitanisaidia chochote zaidi ya kufurahisha nafsi zao tu, ila inaelekea hamisa aliplan haya yote kuanzia mimba yaan alitega zile siku za kupata mimba ili aje amkomoe zari kumbe anajikomoa mwenyew
 
CMG ni maji,naona anayanywa sasa...
 

Attachments

  • PhotoGrid_1505820505060.jpg
    71.6 KB · Views: 30
Acha ujinga watoto wangapi wanalelewa na baba zao ilihali wameoa wanawake wengine. Muhimu ni upendo tu, kama baba ana time na wewe anakuja kukuona mama yako shida iko wapi?
Huyo hamisa alijidanganya na kujazwa upepo na wajinga akiwemo mwanasheria uchwara na wajinga jinga fulani kuwa akilifurumua atakuwa na chances za kupewa mil.5 kwa mwezii. Sidhani kama hili ulilitilia maanani katika story nzima
 
Karibu wanaume 80 pcnt tunacheat! Kosa la Diamond ni kucheat na mwanamke asiyekubali nafas yake
Ndo alikwambia haijui nafasi yake? Yeye ametaka mtoto wake awe recognized publicly na ndo kilichotokea. Kila siku mwanangu atukanwe hana baba kisa nini? Endeleeni na uzinzi wenu ila yakiwakuta muwe wanaume kweli mkubali watoto wenu publicly.
 

Mwerevu wewe, lemme save my energy. Mtoto ndo ashakubaliwa
 
Huyo aliyesema anataka hela ni mimi au umenifananisha na nani? Nyie kinawauma nini diamond kumkubali mtoto wake publicly? Utu kwanza
 
watu wachuizwe na mambo ya mtu biafsi?si use...ng.e huo?kama nyibo zake ni nzuri sikiliza hazifai ziache,maisha yake binafsi hayo,yeye na zari wanajuana na wanaweza kuachana hata leo.waliachana na wazazi wao itakuwa wao?wabongo bhana!
 
Dah haya bhana mie ni kaka sijui wewe.ila nasikia uchungu sana pale mbele za watu unakana mimba ukitoka hapo unanitumia pesa ya matumizi.ningekua Hamisa nisingezipokea hadi asafishe jina langu kwenye jamii.Dhambi hii tumefanya wawili kwanini mimi nidhalilishwe kisa ndoa yako kwani wakati tunafanya kujua Zari yupo?
 
Ndo alikwambia haijui nafasi yake? Yeye ametaka mtoto wake awe recognized publicly na ndo kilichotokea. Kila siku mwanangu atukanwe hana baba kisa nini? Endeleeni na uzinzi wenu ila yakiwakuta muwe wanaume kweli mkubali watoto wenu publicly.
Soma Cv za Marais na Wabunge wa Tanzania wa kiume walio declare idadi ya watoto hadharani, hakuna watoto wa side chicks ni wachache wamewaweka na ni wale waliokulia kwenye familia! Hatuwaoni mama zao wakija Insta tena wengine ni wasanii wenzie huyo Mobeto! Kuna mstaafu mkubwa namjua ana watoto zaidi ya kumi ila waliopo kwenye public ni chini ya hao! Watoto wanakula bata tu na future imeandaliwa nyumba,gari na shule nzuri wanaenda! Sababu ni kuheshimu masharti ya privacy
 
Halafu tusimuukumu hamisa tu lazima kutakuwa kuna kitu hakikwenda sawa katika makubaliano yao ndio maana yule demu akaamua kufanya vile
Nahisi undercover Hamisa alianza akili ya kumtia vikwazo diamond kwa expense ya kutunza siri,

mf: nae kutaka makuu awe na nyumba South, au mjengo kama wa Madale kwa force af Dai akamtolea povu ndio akaja kuyamwaga kama kukomoa tu baada ya kukataliwa matakwa yake.
 
Kwa akili hizi ndio watoto wanakua na maisha mabovu na Diamond ajifunze kwenye sakata lake inawezekana hata yeye baba yake hakumtelekeza ila mama yake alisababisha drama na kumlisha yeye sumu
 

Mtajijua na uzinzi wenu, afu angalau hao role models wako hawajawahi kuwakana watoto wao publicly . Diamond kanifurahisha leo, weka mwanao wazi bana, nyie mkiwapata waficheni tu. Seriously at that age bado unahisi mwanao anahitaji tu kwenda shule na gari sijui utumbo gani? Duuh kweli age has nothing to do with maturity. Byeeee
 
Nisaidie kumshangaa... wewe mtoto wa monalisa au Odama baba zao unawajua? But behind the scene am sure wanatunza watoto wao na familia inajua.... tatizo Hamisa na mama ake wote wana akili za kimalaya tu
Dah haya Bana.Dai alishikiwa bastola kutembea na Malay.a?
 
Unaemtetea yeye hana smart mentality kama yako..... and am sure kwa mentality yako huwezi kuzaa na mtu ambae ana mahusiano ya wazi whether ameoa au hajaoa... na hapa naomba tusigeneralize waangalie wahusika kamili.... kwa situation ya diamond na zari mtu unaenda kuzaa pale kwa matarajio gani?
Ndugu yangu siwezi kumsemea sababu sijui alicheat katika mazingira gani, kwa situation ilivyo bora mtoto akakua akawa na uwezo wa kujidefend ndo ataelewa situation coz kwa sasa hawezi kuelewa sababu baba anamuona more often pesa kitu kibaya sometimes sababu angekua masikini mke angejua lakini sababu ya pesa distance iliyowekwa ukiwa unaangalia kwa nje unaweza usiolewe kwa hofu...
Wanaume ni wanyama wanawake tulinde nafsi zetu wanaume wachache sana wanakataa kipochi manyoya especially kikijileta
 
Mtajijua na uzinzi wenu, afu angalau hao role models wako hawajawahi kuwakana watoto wao publicly . Diamond kanifurahisha leo, weka mwanao wazi bana, nyie mkiwapata waficheni tu. Byeeeee
Kusema una watoto 5 wakati wapo kumi unasema hajakana watoto hadharani?
 
Nafikiri point yangu ilikuwa ni hii "kama walikubaliana kumfanya mtoto wa siri, at least asingemkana publicly". Angezuga tu hiyo habari. Kwanza siri ya nini? Kwa nini tuwatese watoto?
 
Na hajawahi hata siku moja kumuongelea sehemu yoyote.
Yani nashindwa kuelewa watu kuchagua pesa kuliko utu. Baki na pesa zako niachie utu wangu Dhambi tufanye wote then unakuja kwenye public Eti Malaya anata Kiki, Ningekua Hamisa hivyo vi milioni mbili vyake kwa mwezi nisingepokea.Zinaweza kua nyingi ila utu wangu na zaidi ya hizo aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…