Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Kudaaadeki hela bwana..Dai angekua muuza mitumba angeishia kupiga puli tu au kua namademu kama wa humu Jf[emoji1495]
Inaonyesha unazalau sana mkuu sikia wewe kaka wanawake wahumu ndio unaishi nao huko mtaani punguza zalau aiseee
 
Lakini mtoto atakua huru tofauti na ingekuwa siri

Hata ukifichwa uambiwe hakunaga siri kwenye suala la mtoto lazima ingejulikana na uhuru upo tu unaweza ukaoneshwa baba au mama yako akawa anaupendo wa kinafiki tu akikuona ni majuto ya kuchepuka
 
Unajua maana ya ku eat and run? If yoe eat something it goes into your stomach and you run with it.
 
Unaachaje kumtomba Hamisa sasa..!!!!!??
Hahahaa haha duh kisu km kile huwezi kukubali kuona wenzio wanasuuzia rungu pale na wewe unaangalia tu eti kisa main chik main chik my foot hata majay usikute siku moja moja anaomba game
 

Eti presha alizopitia ni kubwa kuliko umri wake. Ana umri wa kumpanulia mwanaume aliyekua na mahusiano na mwanamke mwingine mpaka aka shika mimba akailea ila unaona umri wake ni mdogo kwa maisha aliyoyachagua mwenyewe.
Halafu soma uelewe. Huyo mtoto mchanga hivyo kwa akili yako unaona anatumia laki 5 kila wiki? Dai anasema hela anayopunguza ni ya huyo Hamisa ya kutumia kwake yeye binafsi. Dai atahudumia mtoto wake lakini sio Hamisa. Embu joongeze basi.
 
Uncle,tunda je?
Siku hizi mbona simsikii kabisa ukimtaja?au hii ni new version of Hance Mtanashati?
Uncle,Tunda ni special case aisee.

Hakuna wa kumfikia yule hapa TZ labda nchi nyingine ambazo sijawahi kufika[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]

Huyu Mobeto ni mkali kwa hawa wake wenzake (Wema,Dilish,Zari,Wolper,Uwoya,Avril ,Aunt Ezekiel nk)ila kwa Tunda atasubiri sana aisee .

Pia kitu kingine Tunda haitaji make ups ili awe mzuri bali yeye ana uzuri fulani hivi wa asili ambao mabinti wengi duniani hawana.

 
Dogo boya sana huyu daah,ndege mjanja hutunguliwa na manati
 
Ayaa uncle,atakuwa mtamu pia
 
Mkuu inaonyesha umedata na hayo mapozi kwenye picha...ouky BTW mobeto ni mzur mno.

Ushawahi muona live bila editing kaa kimya mkuu ni wakawaida sana sio mweupe kama hizo picha
 
Hahahaa haha duh kisu km kile huwezi kukubali kuona wenzio wanasuuzia rungu pale na wewe unaangalia tu eti kisa main chik main chik my foot hata majay usikute siku moja moja anaomba game
Sana TUUUUHH...
 
Nimejaribu kukujibu kistaarabu sana ila ukitaka nikujibu kihuni nitakujibu! Mimi maneno yangu weye huyawezi nilijibu kuhusu muuza godoro humu wiki 2 nzima watu walikua wakinilaani tu,tuliza kipapa hiko kama hujui maana ya matunzo ya mtoto kwani unaposema kumpa Hamisa si ndio matunzo yenyewe ya mtoto hayo? Hamisa akipewa akawa stress free si ndio ahueni ya mtoto hiyo? Hamisa akipewa akila akishiba si ndio Afya njema ya mnyonyaji hiyo? Sasa wazani akikata huduma au akiitoa kwa ufinyu kwa akili yako basi atayeumia ni Hamisa pekee hahaha kwa kweli watanzania ni watu wenye vijiba vya roho sana.
NIMEMALIZANA NA WEWE,UKITAKA LEAGUE NINGOJEE
 
Ayaaaa.. Wazima?

Am trying to imagine, mara paap Zari kesho kaamua kutaka TALAKA kwa nguvu, and harudi nyuma, sbb kaona dunia nzima imejua kuwa Diamond ni cheater..

Diamond atatia akili, sbb Zari atamfilisi haki ya nani.. Haaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…