Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mhhh umeongea kwa nguvu adi cm imefanya vibration any way ukweli ndio kaunena
Dah pole Mkuu nsamehe bwana ..yap kausema bt nguvu iliyotumika had kusema inapunguza uzito wa alichokisema
 
kwa nguvu ulokuwa una unaitumia kumkataaa mtoto wa hamisa kiasi cha kumuimba kwenye nyimbo ya [HASHTAG]#fresh[/HASHTAG] remix then Leo unakuja kumkubali!!!!! Na kwa namna ulivyomkana hamisa kias cha ku tweet kwamba " bitches dyn for fame" na kuwafanya mashabiki zako waruke kwa nderemo but Leo hii umekubali mtoto n wako duh!, nataman nkupongeze kwa kukubali mtoto but nafsi inakataa coz had kumkubali kazi imefanyika kubwa mno so wasnt ur intention to agree but external forces, Kwangu nmejifunza some little things abt u let's go and check those things ..
1.MUONGO sikutegemea kwa kukataa kule kwa nguvu zote Leo ungekubali

2.MALAYA haiwezekan ukalala na mwanamke mwingine wakati tayari una mwanamke wako ambaye tayar public inamjua

3.SIFA/KUZUNGUMZIWA unapenda Ku trend hata kwa mambo ya kipuuz sikutegemea kama ungekuwa unajibizana na mwanamke vile wakati ukweli unaujua

Umenfanya niwe na mashaka na mambo mengi yanayokuhusu coz nimekujua unaweza kutunga uwongo na kuusimamia effectively, hatujajua kuhusu nyumba ya south kama n yako kweli au ya zari, hatujajua kama akaunt yako imetuna kweli kama unavyotuaminisha au unatamba na mzigo wa Ivan kupitia zari, na nna mashaka kama kweli humuhofii Ali Kiba kama unavyowaaminisha mashabiki zako coz nlichojifunza n kwamba ww n MUONGO HATARI.
Tunaweza kumlaumu bure lakini alivyo Diamond ndivyo tulivyo wanaume wote, wanaume wote ni wasaliti, hakuna mwanaume ataishi katika maisha yake asimsaliti mke/mpenzi wake japo tunatofautiana kiasi cha usaliti, ukiona wewe hujawahi msaliti mkeo/mpenzi wako basi jua umerogwa au umesomewa albadir.
 
Movie yote ipo hapo! #6 on trending!



NAWASILISHA.
 
Mambo ya ndoa ni mambo ya ndani, Uongo ni sehemu ya mahusiano
Kama wewe ni Mwanamke na hujawahi mdanganya mpenzi wako wa kiume basi bado hujaianza ndoa
unaitwa KITUKO eeh! Bas sawa..I have nothing to argue with u.
 
If this what you think upo Mars, duniani huwa mtoto hapotei kwa baba yake. As long as yupo hai wataonana tu na kwa mzee aliemridhia atampigisha bata tu kwa uwezo
Na je bahati mbaya baba amefariki na mlikua mnafanya siri nani atakae kuelewa kama kuna mali za kugawana wewe huoni huyo mtoto engeweza kukosa haki yake
 
Tunaweza kumlaumu bure lakini alivyo Diamond ndivyo tulivyo wanaume wote, wanaume wote ni wasaliti, hakuna mwanaume ataishi katika maisha yake asimsaliti mke/mpenzi wake japo tunatofautiana kiasi cha usaliti, ukiona wewe hujawahi msaliti mkeo/mpenzi wako basi jua umerogwa au umesomewa albadir.[/QUO
TE]
What u tryn to do is to defend that dude from this rubbish BT n mtazamo wako so ts OK kama ndo hivyo.
 
Mimi kinachonifurahisha, nimekaribia kusikia ngoma tamu kutoka kwa diamond sawa na enzi za lala salama, ukimuona kwa maana kwa jinsi zari alivyonuna lazima atungiwe wimbo.
Bob Manecky nakuomba uhusike kwenye ngoma hiyo tafadhali laizer ataharibu
 
Unashindwa kupambana na Maisha yako
unamjadili Au unaumizwa na Maisha ya mtu ambaye si level ya babako wala ukoo wenu mzima!!
 
Mambo ya Hao Malaya wawili ni ya kawaida sana Uswahilini lakin kwa kuwa yamewatokea Watu Maarufu kila Mtu anajifanya Mshauri mwelekezi wa Masuala ya mahusiano!
 
Back
Top Bottom