Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Ooh sasa baba hajielew na mama hajielew Prince dully atakuwa mtoto wa aina gan? Hahahahahaha!
 
Hivi unaijua Recognition wewe!? Ni zaidi ya pesa,kitendo cha Diamond kumkubali tu mtoto wa Hamisa hata asipotoa mia ni faraja kwa Hamisa,msituletee mambo yenu kuna tendo la siri ila hakuna mtoto wa siri watoto wote wote wote wana baba zao wawatunze wasiwatunze ni lazima wajulikane na sio kumkataa kataa kisa unaleta sent kumi zako

Mbona yeye Hamisa alihojiwa hapo nyuma akakiri mimba haikua ya Diamond? Huo ulikua mpango wao. Sasa kama alichange mind, kilichomfanya akubali mwanzo ni nini?
 
Ila hata kama ni muongo at least yeye ame dare to tell a tale. Mie namuonaga ni mkweli I lov them both kiba and dimond sina timu.
I just love them either but kwa hili amenidis a point sana, Mara mia angeendelea kukataa kkwenye media afu wakayamalizie home..siyo kwa kukataa kule aisee
 
Hapo no2 mbona wanaume karibia wote wapo hivyo? wanasaliti hata wake zao wanaojulikana na muumba sembuse huyo anayejulikana na public
 
kdc, kumbe wewe ni kaka?! Kama ni kaka basi utakuwa kavulana fulani hivi ambae bado hujakua!!!

Alichofanya Diamond asilimia kubwa ya wanaume wakipiga mimba nje ndicho wanachofanya!!! There's no way mwanaume mwenye familia anaweza kukubali mimba kirahisi rahisi hadharani! Hata pale unapokuta mwanaume anafariki kisha wanajitokeza watoto wasiofahamika; kimsingi inakuwa ndo kama hivi! Kwamba, baba mpiga mimba anakubali ku-take responsibility with a condition iwe siri na wife asijue!!

Sasa tatizo linakuja kama uliyempiga mimba mwenyewe ni mwanamke mwenye tabia za kiswahili! Hata kama mmekubaliana, lazima atatafuta namna ya kumuonesha wife wako kwamba umezaa nae! Wife atavaliwa kanga za mafumbo hapo hadi atagundua tu kwamba hapa hali si hali!! Yaani kama alivyofanya Hamisa kwa ku-implement uswahili kidijitali!!!
Kweli JF imevamiwa.Hakika Sijakua kama kukua ni kukataa mtoto mbele ya jamii.hakika sitakua maana nimefundishwa makosa mawali hayasawazi mambo, Pia kuheshim utu zaidi.na kukubali makosa.
So kabwe sitaweza kukua maana siwezi kumkana mwanangu na baada miaka kumi tu atakuja kusikia na kuona baba yake nilimkana mbele ya jamii na itamfanya kushindwa kubeba ubini wangu kwa kujiamini mbele za watu.
 


260562ed43fc12de7a362a6fd725118e.jpg


Diamond achana mikeka, oportunity ya watu kupiga pesa, Mh Raisi aombwa kufanya jambo, Vipi kuhusu leo kua Public holiday..
yote hayo yako ndani mchambuzi amechambua kwa kina kabisa tumskize kwa makini

Mapenzi ni kikohozi huwezi kulificha ila la Mobeto ni chafya. yaani Mond kajaribu ila kashindwa leo kayasema yote sasa skiza uchambuzi wa yote yalojiri hapo juu na analysis za kibabe..
 
Tunaweza kumlaumu bure lakini alivyo Diamond ndivyo tulivyo wanaume wote, wanaume wote ni wasaliti, hakuna mwanaume ataishi katika maisha yake asimsaliti mke/mpenzi wake japo tunatofautiana kiasi cha usaliti, ukiona wewe hujawahi msaliti mkeo/mpenzi wako basi jua umerogwa au umesomewa albadir.
Speak for yourself

Am humbe
 
Kwani tatizo liko wapi zari kazaa watoto na wanaume wawili na mond na yeye kazaa watoto na wake wawili.. ...
 
Back
Top Bottom