Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Talaka ya serikali labda, japo haiandikwi kama talaka ni kugawana mali tu walizochuma pamoja. Adai talaka Misa aolewe

Kweli misichana ya kiswahili ni mipumbavu kabisa. Yaani hicho kichangudoa Misa kilazimishe kuolewa kwa kujenga fitina katikandoa ya mtu? Umalaya na upumbvu wa kshamba sana.

Inaonekana huyo misa yuko desperate sana kwamba hakuna mwanaume anamtaka sasa anajilazimisha kwa nasibu. Hivi mwanume anasema hakutaki, wewe unafanya kila hila ili akuoe, huo siyo umaskini wa kipumbavu uliokithiri?

Anataka kuolewa na Nasibu kwa kuwa nini hata anapokataliwa?

Kwanza namshauri Diamondo asikubali kuingia kicwa kichwa. Huyu mtoto inawezekana ni wa masela fulani ndiyo sababu akalazimishiwa ngono uzembe na kubambikwa mimba hapo hapo. Akapime DNA. Malaya haamiki. Kupima DNA siyo kumdhalilisha mtoto lakini ni kuthibitisha kauli za malaya kama hicho kitoto.
 

Una maana gani kusema kapata tension? Tension ya mtu ndiyo kithibitisho cha umaarufu wake? Unaposema tension una maanisha nini labda? Honestly sijaelewa unamaanisha nini.
 
Kisheria ukishakaa na mwanamke kinyumba kwa miezi 6 na zaidi, inajulikana ni mwenza wako, sasa Zari hadi kafumuliwa Engines zake zote mara 2 lazima sheria itamchukulia kama mke na atadai fidia almost sawa na mke endapo atataka kumwacha Diamond
Mkuu kwa kama unazungumzia Tanzania kwa mujibu wa sheria ya ndoa sura number 29 kifungu cha 160 kinasema ni miaka miwili. Unaweza kuisoma sheria ya ndoa kwa msaada zaidi.
 
Hamna ni sbb mambo yanayohusu genye kutiana yanasambaaa sana alafu kila mnyama duniani anapenda ila binadamu hufanya siri ila ukiweka hadharani hatariiiiiii hasa uchi wa kuibia ni mtamu sana.. Haaaa
 
Demu ukim-cheat ndugu zake wanakuona mbuzi au nguruwe kabisa. Hii kitu muisikie hivyo hivyo tu.
 
Taraka kwn kuna ndoa walifunga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]zari + hamisa wako level moja
 
Wewe mleta uzi, hakuna kitu hatari kama mtu kutumia maneno ambayo hata wewe mwenyewe hujui maana yake.

Angalia sasa ulivyoumbuka!
Hayo ndiyo madhara ya kukurupuka na ujuaji mwingi.

Hata kama ulitaka kutumia neno "attention" bado ungekuwa tu umekosea kuleta maana.

Ukiamua kutumia kiswahili tumia kiswahili na ukiamua ni kiingereza tumia kiingereza.
 
Tension, mambo magumu nini kwa bilionea?
 
Baba Dai hapo asije akapiga sound kwa mama mabeto ndio nitajua wanaume wote sisi ni wanyama... Haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…