Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu ukim-cheat ndugu zake wanakuona mbuzi au nguruwe kabisa. Hii kitu muisikie hivyo hivyo tu.
Jamaaa kawa kicheche mpaka anatia kichefuchefu!Ngoja Dilish nae arushe zake wakiwa Z anzibar
Usisahau ndomu mkuu [emoji23] [emoji23]Haya.. Mm naenda kwa mama mabeto pia
Mkuu huwa wanakuja wenyewe,wanawashwawashwa sanaSakata la Diamond na Hamisa limenipa funzo kubwa sana kwenye kuchagua mahusiano na hasa kuwa mwanagalifu na mtu ambaye unajua unapita tu. Ni bora kutulia na familia yangu.
Talaka inaombwa katika mahusiano ya namna gani... Mpenzi anaweza kuomba Talaka? Can Hamisi seeek divorce from Diamond? Can Zari seek divorce to Diamond? Ndo za siku hizi zimekuwa za namna yakeAyaaaa.. Wazima?
Am trying to imagine, mara paap Zari kesho kaamua kutaka TALAKA kwa nguvu, and harudi nyuma, sbb kaona dunia nzima imejua kuwa Diamond ni cheater..
Diamond atatia akili, sbb Zari atamfilisi haki ya nani.. Haaaa
Usisahau ndomu mkuu [emoji23] [emoji23]
Talaka inaombwa katika mahusiano ya namna gani... Mpenzi anaweza kuomba Talaka? Can Hamisi seeek divorce from Diamond? Can Zari seek divorce to Diamond? Ndo za siku hizi zimekuwa za namna yake
Anataka mtoto aishi kama tiffah na nillan SA[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pesa ya matumizi, milioni 5 kwa mwezi. Uyo mtoto anakula makinikia?
mkuu nadhani umeshaanza kumchukiaKama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Kiukweli kabisa pamoja na msamaha alioomba bado anaonekana ni muhuni hasa kulala na Hamisa katika kitanda anacholala na Zari. Hii ni dharau kubwa mno.mkuu nadhani umeshaanza kumchukia