Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Penda kazi zake mengine waachie wema, dilish, hamisa, zari na wasiojulikana.
Tena nina imani ataandika ngoma kali kama ukimuona kutokana na hili tukio
 
Ukiwa shabiki wa celebrity, timu za mipira na wanasiasa lazima tu utaendeshwa kama Gari bovu na kugundua kuwa sa nyingine akili zako zinashikiliwa. Ushabiki ni kudhamini usichokijua
 
Diamond sasa anawakilisha wakware,wachepukaji,wazinzi,waliozaa nje ya ndoa...wasiotumia condom...

ni chereko kwenye hii jamii ya 'Bahati mbaya' au 'shetani alinipitia' au 'na mie ni binadamu'

tena.. 'nitatembea kwa magoti hadi south..'

na kama haitoshi... 'mke wangu (zari) ni mwelewa ndio maana nampenda zaidi..' by Diamond
 
Back
Top Bottom