Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
Wewe bawacha uache kuwashwa washwa...wewe huna uwezo wa kusoma hivyo vitabu...
Unafanya nini huku?.....
 
Aaaghh,anawasimamisha nyie washamba wenzie msio na kazi kutwa kutafuta umbea mitandaoni.niache kutafuta vitabu vya kina G White na Ben Carson au Economics portals nitafute habari za watu kuzini.sucker?
..kubali tu mkuu...hata humu umechangia sababu hiyohiyo....we fikiria angekuwa lofa mwingine kama ungesema chochote
 
Nyoo unadhani kuchuna pesa ndefu ni kazi rahis?!!hamisa unaona from 5m kaambulia laki 2...
Kuchuna mtu usiweke shida mbele, kwanza u need to convince the man ur worthy to spend on mda wote huo ishu za hela usitaje kabisaa mana hamna anaependa kupendewa pesa etii...ss how u disguise it ndo mtihani
 
uyo dogo bado mshamba sana, analeta mambo ya tandale kwenye media! kwel nimeamin mtoto wa mbwa ni mbwa tu, yaan infikia hatua mambo yake ya ndan anakwenda kuyaweka hadharin? yaan leo hii ndio nimeamin kuwa kuna watu na viatu
 
Mwenye kujua Diamond amelipwa kiasi ili kuzungumza mubashara habari zake kuhusu Hamisa na famiia yake kwa ujjmla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…