Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Naona dogo ameshauriwa akubali mtoto inaelekea huko naona amekubali kumgonga
Kwa maelezo yake hakuna alipokana mimba, toka ifahamike anamimba Hamisa anapewa laki tano kwa wiki.

Siku ya kujifungua kapewa milioni saba ya hospitali......alipojifungua akapewa milioni saba ya vitu vya kwenye chumba cha mtoto...alimtumia Mama yake akamsalimie mtoto.

Tatizo la Hamisa ni uswahili ndio unaomsumbua......Mbona viongozi na raia wa kawaida tunazaa nje mara sana ila mhimu ni kuheshimu makubaliano.

Mobeto alitaka ajione yeye ndio Zari au atachukua nafasi ya Zari.... Wakati Mondi alishamwambia Zari kwamba nimechepuka na Mobeto ......

Hamisa ukigodoro umemzidi.
 
Maoni yangu:
Mi nimefurahi aisee daimond kukubali mtoto maana haiwezekani wanawake wa Tz washindwe kuzaa na daimond
Hamisa nakushauri najua daimond anapenda k akija mtegeshee nyingine uzae mwingine wa pili haraka haraka hata watatu umzidi zari halaf sasa funga kizazi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] binamu weweee looj!ndo nilichokua nataka akubali mtoto hayo mengine shauri yao
 
Hivi unaijua Recognition wewe!? Ni zaidi ya pesa,kitendo cha Diamond kumkubali tu mtoto wa Hamisa hata asipotoa mia ni faraja kwa Hamisa,msituletee mambo yenu kuna tendo la siri ila hakuna mtoto wa siri watoto wote wote wote wana baba zao wawatunze wasiwatunze ni lazima wajulikane na sio kumkataa kataa kisa unaleta sent kumi zako
Recognition kwani lazma iwe kwenye media,kama alikuwa anamtunza na kumgharamia inamaanisha alishamtambua na kumkubali kama wa kwake sasa ulitaka abebe bango wakati tayari yuko kwenye mahusiano na mtu mwengine?,mi haya mambo ya baby mama dramas sio mjuvi sana ngoja niwaache wajuzi.
 
Kabisa...amefanya vizuri na pia kulinda jina namziki wake lakini wadhamini wake pia...unajua uongo ukisema sana unakuwa ukweli..mtu unapewa laki tano kila wiki
Rav4mpyaa mil 25.
Ukapewa mil 7kununua mapocho pocho ya mtoto
Na milioni nne za hosp.. Nk nk...halafu bado unavujisha..hako kabinti kamejiharibia..
Pesa sio utu, pesa ni nini Mbele ya utu wa mtu malaika yule aliyekanwa mbele ya jamii? Bora msilete hata mia ila heshimuni utu wa mtu
 
Kwa maelezo yake hakuna alipokana mimba, toka ifahamike anamimba Hamisa anapewa laki tano kwa wiki.

Siku ya kujigungua kapewa milioni saba ya hospitali......alipojifungua akaoewa milioni saba ya vitu vya kwenye chumba cha mtoto...alimtumia Mama yake akamsalimie mtoto.

Tatizo la Hamisa ni uswahili ndio unaomsumbua......Mbona viongozi na raia wa kawaida tunazaa nje mara sana ila mhimu ni kuheshimu makubaliano.

Mobeto alitaka ajione yeye ndio Zari au atachukua nafasi ya Zari.... Wakati Mondi alishamwambia Zari kwamba nimechepuka na Mobeto ......

Hamisa ukigodoro umemzidi.
Amepewa lift anataka kupiga honi,
 
Hata Mimi hapa najiuliza! Kwa hiyo alitaka Hamisa aendelee kutukanwa ili yeye apone!? Sijawahi ona mwanaume mjinga kama huyu kwa kweli haya ngoja tungojee na kwa Dilish Mathew. Kweli kuna umuhimu mkubwa sana kwa Mtoto wa kiume kulelewa na Baba maana Diamond angelelewa na babake asingeshikiwa akili na mwanamke hata siku moja
Kuna majitu humu majinga yanamuona hamisa chizi looh
 
Recognition kwani lazma iwe kwenye media,kama alikuwa anamtunza na kumgharamia inamaanisha alishamtambua na kumkubali kama wa kwake sasa ulitaka abebe bango wakati tayari yuko kwenye mahusiano na mtu mwengine?,mi haya mambo ya baby mama dramas sio mjuvi sana ngoja niwaache wajuzi.
Maneno hayo ya kwenye media mtoto atayakuta na atayaishi ndani yake ! Kikubwa Diamond alikosea na sasa amefanya marekebisho na kutambua kwamba kuteleza si kuanguka" kwa hilo nampongeza Sana
 
“Children are wonderful. It don’t take plenty y’know. Just a nice girl who don’t take birth control. Sexual intercourse is a lovely thing”

Bob Marley



Naona Diamond anataka kuwa kama BOB MARLEY.

Sio Mbaya, Bob mwenyewe alisema Children are Good thing, a gift from God.

Bob Marley: All His Children & 9 Baby Mommas
by Raul on July 26, 2011 in Bob Marley


Bob Marley married Rita Anderson on February 10, 1966.



Rita brought a daughter into the marriage (Sharon) from a previous relationship and although not officially acknowledged so did Bob (Imani).


Bob & Rita Marley together would have four children during their marriage. Marley also fathered eight more children with eight different women during this time. Not one to be left behind, Rita also had a child (Stephanie) as a result of an affair during her marriage to Bob. Rumor has it that there are several other “unclaimed” or “forgotten” children of Bob Marley, but to the best of our knowledge this is the complete list of Bob Marley’s children and mothers.

Imani Carole Marley born May 22, 1963 (with Cheryl Murray)


Imani is Bob’s first born child but for reasons unknown she is not acknowledged as such on the official Bob Marley website.

Sharon Marley born November 23, 1964 (adopted by Bob)


Sharon was born two years before Rita married Bob to an unnamed man but Bob adopted her as his own and she is offically recognized as one of his children.

Cedella Marley born August 23, 1967 (with Rita)


Cedella is Bob and Rita’s oldest child together and she along with some her siblings were part of the group Ziggy Marley and the Melody Makers. Cedella who was named after Bob’s mother is a clothing designer and CEO of Tough Gong International.

David “Ziggy” Marley born October 17, 1968 (with Rita)


David Nesta “Ziggy” Marley is Bob’s oldest son and the front man of Ziggy Marley and the Melody Makers.

Stephen Marley born April 20, 1972 (with Rita)


Stephen is Bob & Rita’s last child together and the fourth member of the band Ziggy Marley and the Melody Makers.

Robert “Robbie” Marley born May 16, 1972 (with Pat Williams)


Robbie was born less than a month after Stephen and was Bob’s first of many children he fathered without his wife Rita. Not much is known about his mother Pat “Lucille” Williams as Robbie was brought to live with Bob and Rita. He is not a musician and has mostly stayed out of the spotlight as a motorcycle stunt rider.

Rohan Marley born May 19, 1972 (with Janet Hunt/Dunn)


Rohan was born just three days after brother Robbie and a month after brother Stephen. Not too much is known about Rohan’s mother Janet Hunt other than the fact that Rohan was also eventually brought to live with Bob and Rita at the age of four years because Janet was not caring properly for him. Rohan attended the same school as Ziggyand Stephen, but he was a trouble maker to the point that he was sent to live with Bob’smother Cedella Booker in Miami. He played linebacker at “The U” (The University of Miami) and is also notorious for having five children with singer Lauren Hill. In 2009, he co-founded Marley Coffee, an organic coffee plantation and sustainable farming business in Jamaica’s Blue Mountains.

Karen Marley born 1973 (with Janet Bowen)


Karen, is the third biologocal daughter of Marley, she was born in England in 1973 to her mother Janet Bowen aka “Janet From England“. Karen grew up in Jamaica with the Marley’s and attended school with Stephanie.

Stephanie Marley born in 1974 (adopted by Bob)


Stephanie was born out of wedlock after Rita had an affair with a man named Ital. Bobadopted Stephanie and accepted her as his own and she is officially recognized as one of his children.

Julian Marley born June 4, 1975 (with Lucy Pounder)




Julian was born in London and raised by his mother, Lucy Pounder although she did bring Julian to visit the Marley’s in Jamaica and Miami. He is a singer, songwriter, producer and self-taught musician with three albums to his credit, most recently 2009’s Grammy-nominated album Awake.

Ky-Mani Marley born February 26, 1976 (with Anita Belnavis)


Ky-Mani was born in Jamaica to Bob’s then-girlfriend Anita Belnavis, a Caribbean table tennis champion, and raised in inner-city Miami. Ky-Mani was initially more interested in sports than in making music, but that all changed when he discovered a knack for rapping and singing and released his debut album, Like Father Like Son, in 1996.

Damian Marley born July 21, 1978 (with Cindy Breakspeare)




Damian mother was 1976 Miss World Cindy Breakspeare and one of Bob’s most known about girlfriends. Damian is nicknamed “Jr. Gong” after his father. and is a dancehall reggae artist and Grammy Award winner. In 2010 he teamed up with Nas on the collaborative album Distant Relatives, which bridged the gap between dancehall and hip-hop.

Madeka Marley born May 30, 1981 (with Yvette Crichton)


Makeda Jahnesta Marley was born to Yvette Crichton in 1981 in Miami mere weeks afterBob’s death. She is the singer’s youngest child, but she did not grow up with or around any of her half siblings. She attended high school and college in Pennsylvania and currently resides in the Philadelphia area.



“Children are wonderful. It don’t take plenty y’know. Just a nice girl who don’t take birth control. Sexual intercourse is a lovely thing”

Bob Marley

Fact: Bob Marley’s Dad Was White
 
Ikitokea wasikilizaji tukapewa muda wa kupiga Simu na kumuuliza ' Ndomo ' swali nikipata tu line nitamuuliza hivi ni kweli kwamba ana ' Mkuyenge ' bamia kama ambavyo inasemekana au tunaaminishwa na hasa wale wanaomjua ' Kindakindaki ' na pengine aliowabandua?
Miguu hata ikiwa mifupi, ilimradi ikupisha safari yako ! Kuna wenye miguu mirefu wanaishia kusaga disc !
Majaliwa hayawezi kuwa kilema.
 
Hivi unaijua Recognition wewe!? Ni zaidi ya pesa,kitendo cha Diamond kumkubali tu mtoto wa Hamisa hata asipotoa mia ni faraja kwa Hamisa,msituletee mambo yenu kuna tendo la siri ila hakuna mtoto wa siri watoto wote wote wote wana baba zao wawatunze wasiwatunze ni lazima wajulikane na sio kumkataa kataa kisa unaleta sent kumi zako
Dada ahsante sanaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom