Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Mahojiano ya Diamond katika kipindi cha leo tena, amkubali mtoto wa Hamisa kuwa wake

Jamani jamani!! Zari aliwakosea nini lakini? Mie nampenda zari na namhurumia sana ktk hili.
[emoji6] [emoji1] [emoji1] [emoji6] [emoji6] [emoji6] namtaka duly mie aniolee mwana
 
Kama atathibitisha kuzaa na Hamisa nadhani ndio utakuwa mwanzo wa kuanza kuporomoka kisanii. Watu wengi sana wameumizwa na hili suala. Na wengi sana walimpenda Diamond alivyokuwa na msimamo juu ya Zari. Lakini kuzaa na Hamisa ni kama kumtusi Zari. Binafsi nitakuwa hater wa Diamond endapo atathibitisha kuzaa na Hamisa.
Dah..kuna watu mna viherehere sana ss hpo nyie mnaumizwa na nn? jamaa kazaa na demu pembeni tatzo lko wp hpo!
 
Then start now. Wamezaa
Kuna watu wana viherehere sana ndg yng eti km kazaa na hamisa ntakuwa hater... haaaaahaaaa ss ye inamuhusu nn? ni nani kwenye ile familia hadi apanic kiasi hk? akisha kuwa hater ndio? watu wanajua bhana kujipendekeza wanatamani wangekuwa member wa familia ya madale!
 
Back
Top Bottom