Mahojiano ya Kamati za bunge yawe yanafanyika hadharani(public hearing), media zirushe live

Mahojiano ya Kamati za bunge yawe yanafanyika hadharani(public hearing), media zirushe live

Huo utaratibu haupo duniani kote
Nimezungumzia kwenye mataifa ya demokrasia halisi, Nafahamu vizuri huo utaratibu haupo Korea Kaskazini, Saudi Arabia, Iran au Burundi. Nafahamu huo utaratibu upo kwenye mabunge mengi ya nchi jumuiya za madola kama Kenya, Ghana, Uingereza
 
Back
Top Bottom