Mahojiano ya msanii Diamond(WCB) ndani ya XXL ya Cloudsfm

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Kuhusu kuwa kimya kwa muda mrefu.
Majibu

'Nilikuwa nimekaa kimya kwasababu nilikuwa nataka wasanii wa lebel yangu na wenyewe waachie ngoma zao'-Diamond

Kuhusu picha aliyoiweka kwenye ukurasa wake wa ista Zari akiwa ndani ya maji na mwanaume mwingine. Majibu

'Mara ya kwanza nilipoona picha ya Zari kapiga na mtu kwenye maji nilipanic na nilichokiandika kwenye insta yangu nilimaanisha

'Baada ya Zari kuona post yangu Insta alikuwa ofisini na alirudi nyumbani na aliponielewesha nilikuwa mpole'-Diamond Platnumz

'Baada ya post yangu ya insta wasanii wengi walinipigia simu, Psquare na Fally Ipupa walinicheki' - Diamond Platnumz

Kuhusu kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Hamisa Mobeto na kumpa ujauzito
'Kuhusu mimba ya Hamisa mimi sijawahi kuwa na mahusiano naye hizi ni stori ambazo kila siku hata mimi nazisikia' - Diamond Platnumz

Kuhusu yeye na Alikiba
'Nilishawahi kufanya shoo ya pamoja na Alikiba Muscat, baada ya kurudi Tanzania ndio aliachia ngoma yake ya Dushelele'-Diamond [HASHTAG]#xxlcloudsfm[/HASHTAG]

'AT namfahamu ila alichokizungumza kuhusu mimi na Alikiba sijui ana maana gani' - Diamond Platnumz


Diamond ametoa wimbo mpya unaoitwa I MISS YOU
'Baada ya kuachia ngoma yangu leo baada ya wiki tatu naachia ngoma nyingine'- Diamond Platnumz

Pia amesema kwamba wasafi hawana tatizo lolote la msanii Harmonize kuhusu yeye kufungua studio yake mpya ila hiyo ni furaha kwao kwani ni dalili ya kuonyesha kuwa mtoto amekuwa na huo ni mwanya wa wao kuingiza wasanii wapya ndani ya wasafi kwa kuwa wale wa mwanzo tayari wamekua.

'Hatuja kasirika Harmonize kufungua studio yake kwahiyo sisi kama WCB hatuna neno kabisa'-Diamond Platnumz

'Kitu kingine ambacho watu hawakijui ni kuwa Rayvanny anafungua studio yake na produce wake atakuwa Rash Don'-Diamond Platnumz

'Kuhusu Q boy alisimamishwa kutokana na makosa baada ya hapo alienda kuongea vitu vya tofauti nje'-Diamond Platnumz
 
kaka chibu wosia wangu umeshakua Baba na Zarinah Hassan ni mama watoto wako, usiwe unakurupuka kitoto umekua sasa na isitoshe nawashauri muweke privacy kwenye maisha yenu ya siri sio kila kitu tufahamu ndo maana kuna interview za redio na tv,kukitaka kujua lolote kuhusu nyine tutauliza, lakini nashauri ungetengeneza video clip kama za ti &tin tuone maisha unayoishi ya kweli heshima unayopewa nyumbani kama Baba sio kuweka picha sizizokua maadili
 
Bila kupepesa Macho Diamond yuko vizuri sana linapokuja swala la interview Sio Kina king kiba miwani KUBWA na kujisifia bila mpango
Mhhhh utakuwa humfaham Ali Kiba. Miwani kubwa na kujisifia? Rudi kukaa la Mahusiano broh
 
Hongera sana baba tee mondi the baddest nimekuelewa sana leo roho yako tofauti sana na wanaopenda kushindana kujikweza na kujiona wao ndo mashababi wa muziki kwa ukubwa wa muziki wako na jina lako ulivo lifanya brand worldwide Mungu akusimamie mimi kama Mtanzania najivunia wewe mondi endelea kutusua akili yako ni ya kutazama mbali na ufike mbali inshaallah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…