Swahiba acha tu iwe kweli[emoji23][emoji28]mahondaw shost najuaga mpo kwenye matani n smart msiniambie ni serious
Shunie bhana hebu amuache mwenzie[emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaaa!
Cc:Kasie![emoji1][emoji1][emoji1]There is no way easy out or easy in katika mapenzi... ofcourse kuna vitu mimi na mahondaw hatuwezi kuvianika public ambavyo tushafanya na bado tunaendelea... lakini huu ni upendo/mapenzi... basi hata ndao zingekuwa zinafungwa kwa siri...
Mfano tendo la ndoa ni siri lakini mimba siyo siri...
cc: mahondaw
Tehteh!!umetumia mbinu zipi kugundua kuwa Smart911 na mahondaw wote ni wanaume?Smart 911 na mahondaw wote wanaume...!!!wanazengua tu
Ningeshangaa Kama usingemtaja Kasie[emoji23][emoji23][emoji23]Cc:Kasie![emoji4][emoji4][emoji4]
Thank you mahondaw wangu...
mahondaw you make my heart race, no matter where i go you are always in my mind, nothing you do or say, will ever drive me away.
mahondaw for you i will go through hell, i will take your pain, and give you all the joy. My love for you is no a joke.
mahondaw you are the apple of my eye.
mmh yaan mmeamua kurahisiiiiiiiiisha! eti "akuje akuandikie" kwa ishu ni kuandikiwa tu! kuandika tu yaani kama riwaya vile.... aaah msifanye hivyo jmn
Asante sana mkuuSwahiba acha tu iwe kweli[emoji23][emoji28]
Msalimie shemeji[emoji4][emoji4]Asante sana mkuu
Tehteh!!umetumia mbinu zipi kugundua kuwa Smart911 na mahondaw wote ni wanaume?
Ningeshangaa Kama usingemtaja Kasie[emoji23][emoji23][emoji23]
Msalimie shemeji[emoji4][emoji4]
Anajitoa ufahamu kwa bibie kasinde[emoji23][emoji23][emoji23] ni vema akamuanzishie uzi atiririke na yeyeHuyo hahusiki hapa wala hajatajwa kabisa. Hapa si pake hapa nivile tu Behaviourist ana madudu kichwani
Hongera sana, STUNTER!Hongera sana, mahondaw !
Mungu awabariki muwe na amani na upendo katika mahusiano yenu,