Mahondaw mpenzi wangu, kitandani usishuke zima taa kabisa

Status
Not open for further replies.
I never expect this kwakweli mpaka nashindwa niseme nini!

Smart911 , wewe ni mwanaume wa kipekee sana sijawahi ona . Ni mwanaume ambae umenifanya mahondaw mimi walau kuwaka pia hapa jf. Nilikua gizani nimezima kabisa sina aa wala bee nipo nipo tu mahondaw mimi jamani.
Ukaniona nakufaa ukanichukua ukanisafisha walau nikapata kuonekana namimi .

Smart911 mylove Nina kila sababu ya kujivunia kuwa nawewe katika maisha yangu
Smart911 wewe ni mwanaume wa msimamo usio kifani Smart911 yani sijui nisemeje
Smart911 ukipenda umependa kweli hunifichi chochote kile Smart911 thanks for that

On what makes me happy you support me in that, when I'm sad you comfort me , when I fall you pick me up , you never leave me behind hurt nawewe ukiwepo thanks again
Umekua na moyo wa kipekee sana Smart911
Umepambana umepigana sana mpaka tumefika hapa tulipo. Tumepata changamoto nyingi sana hapa nyingine kutoka kwa marafiki zetu wa karibu kabisa wakitaka tu kuchafua jina na kuvuruga uhusiano huu but thank God Umekua ukiwapuuzia yote hio ikiwa ishara ya upendo wako kwangu. Thanks for choosing me.
Nakupenda sana Smart911
 
Aiseee......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…