MAHONIA: Uchaguzi huu unaenda kuamua kati ya KIFO na UHAI wa CHADEMA

Tunapita na Mbowe,
Kura zote za Ndiyo apewe Mbowe.

oops who cares
 
Reactions: Tui
Mdude yeye kachagua upande wa Lisu.Kuna mnafiki mwenzake anajifanya neutral ili asikose maslahi kutoka upande utakaochaguliwa.Stand up and be counted.Wacha unafiki kwa kisingizio cha uchaguzi una mambo mengi.Lema nae kakimbia kwenda Canada na kasema atarudi baada ya uchaguzi wa Chadema. Mnafiki mwingine
 
Katika huu uchaguzi kitu kilichonishangaza ni CCM wenzangu kuwa upande wa MBOWE kwa nguvu zote.

Kama wapiga kura wa CDM zina charge basi wajiulize kwanini adui anawachagulia kiongozi.

Mimi ni CCM ila natama LISSU awe mwenyekiti wa CDM ili tupate balance of power nchini.

Ugumu wa maisha,ufisadi n.k haviwaumizi wapinzani peke yao na mtu nnaemuona anaeweza kuenda na siasa hizi za Africa ni LISSU.
 
Ndugu yangu umeongea ukweli mtupu.chama mbadala wa ccm ni cdm hata ccm wenyewe wanajua.Lakini sasa viongozi wa cdm wanachezea shilling chooni wakiacha wapenzi na wanachama midomo wazi.Kwa kweli wengi wanapenda wasema kweli na wenye moyo si lazima wawe na mvuto ingiwa haupuuzwi ;Sokoine hakuwa na mvuto lakini linapokuja suala la rushwa alikuwa tayari kuvunja itifaki hata ya kutaka kuwatia ndani waliosakiwa kula rushwa kwa sababu hiyo alijijengea kuwa nitumaini la wananchi.Kama ulivyosema ni mhimu wanaowakilisha wananchi toka maeneo yao,wawasome wananchi matumaini yao ni yapi kwa wagombea.Natamani 2025 uwe ni mwisho wa kutegemea chama kimoja badala yake kuwe na viwili au vitatu.Watu wallianza kujiandaa na cdm kuwa angalau na wabunge wengi au kushika dola kabisa.
 
Aliondoka Dr. Kaburu Katibu Mkuu wa chama CDM hakikufa.
Alindoka Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo chama hakikufa kikazidi kukua na kustawi.
Alindoka Dr. Slaa Katibu Mkuu na muasisi wa CDM ni msingi chama kikachanua - itakuwa Lissu? ana nguvu vipi kuwazidi hao na wengime ambao sijawataja.

Lissu ameharibiwa na wanaharakati wa mitandaoni na wale waishio ughaibuni wanataka kumtumia kukiteka chama kiwe cha kiuana-harakati ambapo ni hatari wa usalama wa wanachama, wapenzi na nchi kwa ujumla. Wana CDM kilindeni chama chenu kwa wivu mkubwa kama hao wanaharakqti wanataka kufanyq siasa office za msajili zipo wazi wakajaze form za maombi au lah wakavamie TLP haina mwenyewe.
CDM si mali ya wana CDM tu bali ndiyo tumaini pekee la watanganyika wote.
 
Hebu fikiria kwa mfano, unaingia kwenye Uchaguzi wa Serikali unawakosa Watu hawa kwenye Kampeni.
-Tundu Lissu
-John Heche
-Godbless Lema
-John Pambalu

Halafu mbadala wake unawakuta;
-Devota Minja
-Sugu
-Wenje
-Welwel
Umesema wawaite wanachama na wawaulize wanamtaka nani. Ikitokea wanachama wakasema nenda ukatuchagulie Mbowe, Je, huoni haitakuwa na maana tena ya kuwauliza kwa kuwa akichaguliwa Mbowe kwa mtazamo wako uchaguzi wa kitaifa mwakani watakosekana akina Lissu, Lema, Heche na Pambalu?
 
Mbowe akiendelea kukaza fuvu chadema byebye!

Mwambieni aache kugombea uenyekiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…