M
Chama sio mali yake, kwa nini pamoja na mkwamo huu aendelee kuongoza?
Muda ulishamsaliti Mbowe, awaachie na wenzake waongoze.Lissu anahaha sana kupata kura za huruma na HATAZIPATA! Mwenzake Mbowe katulia tu. Anasubiri kumpeleka mtu kibra!
Chama sio mali yake, kwa nini pamoja na mkwamo huu aendelee kuongoza?