Muda ulishamsaliti Mbowe, awaachie na wenzake waongoze.Lissu anahaha sana kupata kura za huruma na HATAZIPATA! Mwenzake Mbowe katulia tu. Anasubiri kumpeleka mtu kibra!
Sahihi kabisaMbowe akiendelea kukaza fuvu chadema byebye!
Mwambieni aache kugombea uenyekiti
Point aiseeChana cha Mbowe kikifa Lissu atabaki hili ndo linanipa Tumaini.
Ndo hivyo mkuu isifikie hatu ukombozi wetu utegemee maamuz ya Mbowe huu utakua ni uzwazwa na Chama chake.Point aisee
Kama kilisonga mbele;Kwani wao ninani ktkt chama walikuwapo kina zito, slaa, wardi kabiru, nabado chama kikasonga mbele sembuse hao uliowataja let them go chama ni taasisi akiondoka Mtu mmoja anakuja mwingine unazUngumzia lema ambaye ameshindwa kuongoza Kanda
Kwa kawaida uanaharakati hufa baada ya kupata Uhuru was aina yoyote.Unasema Tundu anatofauti gani na viongozi waliowahi kuhama cdm? Tofauti ni moja; dhamira na ukweli anapoamini nchi haitawaliwi kama ilivyopasa kutawliwa kidemokrasia.Aliondoka Dr. Kaburu Katibu Mkuu wa chama CDM hakikufa.
Alindoka Zitto Kabwe, Kitila Mkumbo chama hakikufa kikazidi kukua na kustawi.
Alindoka Dr. Slaa Katibu Mkuu na muasisi wa CDM ni msingi chama kikachanua - itakuwa Lissu? ana nguvu vipi kuwazidi hao na wengime ambao sijawataja.
Lissu ameharibiwa na wanaharakati wa mitandaoni na wale waishio ughaibuni wanataka kumtumia kukiteka chama kiwe cha kiuana-harakati ambapo ni hatari wa usalama wa wanachama, wapenzi na nchi kwa ujumla. Wana CDM kilindeni chama chenu kwa wivu mkubwa kama hao wanaharakqti wanataka kufanyq siasa office za msajili zipo wazi wakajaze form za maombi au lah wakavamie TLP haina mwenyewe.
CDM si mali ya wana CDM tu bali ndiyo tumaini pekee la watanganyika wote.
Tatizo la uchawa na ubinafsi zinamfanya chawa asiweze kutambua malengo aliyopigania miaka yote,uchawa na ubinafsi ni sumu kwa Jamii na Taifa ni wakati wa kukataa uchawa na ubinafsiKwani wao ninani ktkt chama walikuwapo kina zito, slaa, wardi kabiru, nabado chama kikasonga mbele sembuse hao uliowataja let them go chama ni taasisi akiondoka Mtu mmoja anakuja mwingine unazUngumzia lema ambaye ameshindwa kuongoza Kanda
Awamu hii mambo yapo tofautiKwani wao ninani ktkt chama walikuwapo kina zito, slaa, wardi kabiru, nabado chama kikasonga mbele sembuse hao uliowataja let them go chama ni taasisi akiondoka Mtu mmoja anakuja mwingine unazUngumzia lema ambaye ameshindwa kuongoza Kanda
Kumbuka wakati huo umma ulikua unamwamini sana Mbowe na hapakuwahi kutokea mtu wa katiba ya TL muwazi na mkweli kushindanishwa na Mbowe.Kwani wao ninani ktkt chama walikuwapo kina zito, slaa, wardi kabiru, nabado chama kikasonga mbele sembuse hao uliowataja let them go chama ni taasisi akiondoka Mtu mmoja anakuja mwingine unazUngumzia lema ambaye ameshindwa kuongoza Kanda
Na waliongozwa na wanaongozwa na kenge wanaitwaje?Kenge hasikii mpaka atoke damu
AsanteWajumbe someni hii kwa makini