Manyukikishompendo
Member
- Sep 13, 2024
- 18
- 7
Kuna changamoto nyingi zinawakumba wadada wanaofanya kazi hii ya Massage hapa Zanzibar.
Unakuta wadada wengi sana hawana mikataba na wanafanyishwa kazi muda mrefu sana sehemu nyingi ambazo wanamiliki Warabu, hawa wadada wanafika kazini saa 2 na kutoka wanatoka hadi saa 5 usiku na hakuna overtime.
Na ukiongelea hili swala unafukuzwa kazi wanadai kuwa viongozi wao wanadili na watu wa kubwa hivo hawa wadada hata wakisema wakiwambia wajiri wao kuwa hawatendewi haki hakuna kinachotokea tunaomba kama kuna msaada wowote ambao wadau mnaweza kuwasaidia hawa ndugu zetu hali imeshakuwa ngumu kwa upande wao