Mahousegirl Wengine Mmh!


kama kweli huna nia nae,
fika na demu yeyote mkali hapo nyumbani, hata co-worker mwenzako.
Itamtia wivu, atajenga bifu na wewe, then t'll be over.
Sawasawa?
 
Mwanadamu anahitaji mazoezi ya kimwili from time to time, sasa mkuu gym la kufanyia mazoezi unalo hapo hapo nyumbani hutaki kulitumia shauri yako muuza genge atakuOvertake halafu ulete bifu..
 
Kwani kuna tatizo gani ukimla?... au kwa kuwa ni Housegirl?
Mashefa huku huwala sana mahousegurl wa kispanish!!!..... kama anavutia pona!!, achana na walokole wa JF.
 
Jamani atakuwa anakupenda ila how can she say it?!?ebu usiwe mgumu kumuelewa na wewe.
 
Uzi kama huu usitarajie wanawake watakusifu, watakushambulia mpaka ujute.................................!
Ulitakiwa uyaalize kimya kimya kisha uje usimulie hapa kwamba Ibilisi alikuingia ndo ukafanya huo ******, tena ukitaka uonewe huruma, inabidi hilo tendo uliite majina yote mabaya na uoneshe hisia za kujutia kile ulichokifanya...........
 

Mtambuzi balaa wewe! Kuanzia sasa nitaanza kusoma story zako with a third eye. Du, kumbe kujifanya unajuta kote ni kukwepa madongo na kutafuta sympathy. My conclussion sasa ni kuwa hizo story zako they r never that old, the oldest must be just one month!
 
Nilikuwa natania tu bana...................... Mie nishakuwa mtu mzima sasa nawaachia vijana waselebuke!
 

Umeona ee? Iam shocked! Zitakuwa very current! Especially ya wallet lol. . Labda ya housegirl with the mention of the name kizota nilishasau kabisa. . May b! But hizi zingine mtambuzi we mkali! Halafu Michael tu update hii yakwako imeishia wapi umevishinda vishawishi?
 
Acha kunisingizia ya wallet ilikuwa ya zamani bana..........................
 
Twande umenifanya nicheke! mpaka basi, ngoja tubaki na ya mkuu Mtambuzi yangu nitaitolea majibu siku ingine.

Bado hujala zigo tu??
Jibu liko juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…