Mahousegirl Wengine Mmh!

Mahousegirl Wengine Mmh!

Twande umenifanya nicheke! mpaka basi, ngoja tubaki na ya mkuu Mtambuzi yangu nitaitolea majibu siku ingine.

Jibu liko juu.

Daaah yaonyesha keshakuwa wifi yetu mana hata kumwongelea vibaya huwezi tena lol. . Kidogokidogo utatangaza ndoa love in the aiiir. . .Lmao.
 
Nilizaa na hg mtoto sasa yuko form I, mke wangu akakubali yaishe akanisamehe nilimtunza mtoto na mama yake kwa kuwachukulia chumba na kumgharamia mpaka sasa. Ilikuwa ni one shoot one goal. Toto zuri hilo limetoka ki coloured kama babake.

Kisanga mwaka jana nikabambwa nimemshikisha hg mwingine nanihino, sijafanya nae kabisa. mpaka leo mke wangu hataki hata nimguse. Sijaona sambusa toka mwezi wa 6 mwaka jana. Anaetaka tufarijiane haya tena.

Usisikie ma hg watamu, hasa wakishakoga halafu wanajipaka sabunimbadala wa mafuta basi akikupitia automatiki unakumbuka ngunga kwa harufu ya sabuni.
 
hahahaaa nimecheka kwa huzuni! Mana huregret! Imagine ulisamehewa na mkeo mwenye moyo mkubwa mana mi hata iyo awali nisingekusamehe! Anyway ngoja nipunguze makali unimalizie hako kakipengele huko ulimpangia bibie ulikuwa unaenda kuongeza njia ya kujifungua? Mpaka kesho? Au nae saivi hapaki sabuni tena mvuto umeondoka? Tehetehee du! Yote tisa umerudia? Mweee! Na mimi ntaanza kupaka sabuni hahahahaaa umenichekesha sana anyway. .
 
Tujibu bana mbona unatubania? :eyebrows:
JS mbona unakomalia hii maneno! mkuu Mtambuzi kashasema unauwa kimyakimya!

Daaah yaonyesha keshakuwa wifi yetu mana hata kumwongelea vibaya huwezi tena lol. . Kidogokidogo utatangaza ndoa love in the aiiir. . .Lmao.

Aaaaah Twande hamna kitu kama hicho.
 
hahahaaa nimecheka kwa huzuni! Mana huregret! Imagine ulisamehewa na mkeo mwenye moyo mkubwa mana mi hata iyo awali nisingekusamehe! Anyway ngoja nipunguze makali unimalizie hako kakipengele huko ulimpangia bibie ulikuwa unaenda kuongeza njia ya kujifungua? Mpaka kesho? Au nae saivi hapaki sabuni tena mvuto umeondoka? Tehetehee du! Yote tisa umerudia? Mweee! Na mimi ntaanza kupaka sabuni hahahahaaa umenichekesha sana anyway. .

Mwanamme anaekwambia kananihii haka tweak anaposikia harufu ya lux, huyo ana kasoro.
 
Msiwaruhusu ma hg kutumia sabuni za lux, lifebuoy, imperial, give. Hakikisheni wanakogea sabuni za mbuni, za punda na kama hizo.

Hii ni kwa kulinda ndoa zenu. Mwenzenu yamenikuta.
 
Uzalendo ukikushinda ukaonja kitakacho kustopisha ni mimba tena ya zaidi ya miezi sita.Pamba zitakuwa zimeshawekwa masikioni,hapo ndio utatia akili kila nyimbo utaimba lakini wapi,sana sana atakachofanya ni kukimbia halafu baadaye yatakukuta ya Maita(former IGP)

Jibu ni kumwondoa
 
Nipo kikazi katika mkoa mmojawapo kaskazini ya Tanzania, kwakuwa nyumba niliyopewa kuishi ni kubwa, imenibidi nitafute msaidizi wa kazi za nyumbani.
Nimepata msichana ana wiki ya 2 sasa tangu aanze kazi lakini naona ananiingiza majaribuni!

Bahada ya kumuonyesha sehemu ya kulala, akaogopa na isitoshe akadai kuna baridi sana ni bora aje alale sebureni kwangu. Alivyolala sebureni kufika usiku akasaula nguo zote eti kuna joto sana!
Mbaya zaidi tangu majuzi nimebanwa na malaria, ndio kakomaa chumbani eti anamuuguza mgonjwa! Sasa hizo touching! unajisikiaje mara unapimwa joto la mwili kifuani, mara kwenye garden love kunapapaswa.

Huyu si anataka ukimuacha akawatangazie watu jamaa si rizki?

Unatutangazia kupendwa na housegirl? Kama hukumpa clear terms of reference unategemea nini?
 
Uzalendo ukikushinda ukaonja kitakacho kustopisha ni mimba tena ya zaidi ya miezi sita.Pamba zitakuwa zimeshawekwa masikioni,hapo ndio utatia akili kila nyimbo utaimba lakini wapi,sana sana atakachofanya ni kukimbia halafu baadaye yatakukuta ya Maita(former IGP)

Jibu ni kumwondoa

Mtimue huyo

Unatutangazia kupendwa na housegirl? Kama hukumpa clear terms of reference unategemea nini?

kama hujaonja basi nachelea kusema wewe sio rizki.

Jamani hii makitu ishapitishwa hukumu yake siku nyingi, Isipokuwa dingi Mtambuzi jana wakati kaleta uzi wake unaohusiana na mambo ya mabeki tatu, akafanya refference tu! Kama unataka kujua huyu beki tatu kaliwa au katimuliwa
Nitafute pande hizi.
showmichael@yahoo.com
Kwenye facebook ni michael scofield Utaona kila kitu live
Topic Closed

Unapata wapi muda wa kumuwazia yote haya? Hebu jibidishe kwenye kazi yako na ujiwekee mipango ya maisha yako............leo utaanza na housegirl kesho mke wa jirani...............acha ujinga!
 
Msiwaruhusu ma hg kutumia sabuni za lux, lifebuoy, imperial, give. Hakikisheni wanakogea sabuni za mbuni, za punda na kama hizo.

Hii ni kwa kulinda ndoa zenu. Mwenzenu yamenikuta.

Huo ni unyanyasaji.............nakwambi kama umemtamani hata umvishe magunia.............utamtaka tu!...suala la sabuni kutumiwa ni suala la kipato hizo unazoshauri aogee HG ; mie ndo nazitumia na ni nzuri sana kwa afya ya ngozi yangu.............!
 
Ulisoma story ya Mtambuzi kuhusu kisirani cha housegirl? Haye endelea kuchecheka ukipapaswa hizo garden Love zako
 
So uliileta hii story yako hapa ili iweje, tukutafute pande hizo ili iweje, itatusaidia nini kujua kama ulimla au ulimtimua?

Jamani hii makitu ishapitishwa hukumu yake siku nyingi, Isipokuwa dingi Mtambuzi jana wakati kaleta uzi wake unaohusiana na mambo ya mabeki tatu, akafanya refference tu! Kama unataka kujua huyu beki tatu kaliwa au katimuliwa
Nitafute pande hizi.
showmichael@yahoo.com
Kwenye facebook ni michael scofield Utaona kila kitu live
Topic Closed

Ribosome sikuwezii! So hizo sabuni mtu upake kama mafuta? Sijui nijaribu? Lakini chumvi haiwezi kuwa sukari hata siku moja! Kuna akili fulani mtu akishakuwa nayo juu ya hao viumbe hata mkeo nae afunge kilemba kama beki tatu utamwanalia hg tu! Acha tamaa especially ukisamehewa tena mana nina wsws kinachofuata ni talaka3 lol!

Michael! Its okey topic closed naheshimu mawazo yako ila jibu ninalo usitafute tena wa mitego. . Ushauri wa bure. .
 
Story zote zinazoelezwa hapa ni kuwa jamaa hapa anakuja kutoa matokeo na wala sio hiyo hadithi ya kutunga anayojaribu kutueleza
read between the lines uone jamaa anamaanisha nini hapo
 
kwa hiyo kwa vile unaogopa kutangazwa sio riziki itabidi umle au? maana hapa sijui unataka tukuambie nini wakati dalili za wewe kumla ziko kwenye maelezo yako. kwani ukitangazwa sio riziki wakati ni riziki utapungua kilo ngapi? kula akugande ndio utalijua jiji la mkoa wa kaskazini.
 
Back
Top Bottom