kwa hiyo kwa vile unaogopa kutangazwa sio riziki itabidi umle au? maana hapa sijui unataka tukuambie nini wakati dalili za wewe kumla ziko kwenye maelezo yako. kwani ukitangazwa sio riziki wakati ni riziki utapungua kilo ngapi? kula akugande ndio utalijua jiji la mkoa wa kaskazini.
Huo ni unyanyasaji.............nakwambi kama umemtamani hata umvishe magunia.............utamtaka tu!...suala la sabuni kutumiwa ni suala la kipato hizo unazoshauri aogee HG ; mie ndo nazitumia na ni nzuri sana kwa afya ya ngozi yangu.............!
Ribosome sikuwezii! So hizo sabuni mtu upake kama mafuta? Sijui nijaribu? Lakini chumvi haiwezi kuwa sukari hata siku moja! Kuna akili fulani mtu akishakuwa nayo juu ya hao viumbe hata mkeo nae afunge kilemba kama beki tatu utamwanalia hg tu! Acha tamaa especially ukisamehewa tena mana nina wsws kinachofuata ni talaka3 lol!
Michael! Its okey topic closed naheshimu mawazo yako ila jibu ninalo usitafute tena wa mitego. . Ushauri wa bure. .
Unaonesha hata hg hauna nyumbani.
Wapo wa 2!
sipendi mtu kuomba ushauri wakati amesha kula..
Huyu si anataka ukimuacha akawatangazie watu jamaa si rizki?
sasa akilala sebuleni uchi na wewe upo chubani kwako
tatizo wapi?
au unaamka kuchhungulia?
Kama anakutia majaribuni, nenda kwa wazazi wake ukajitambulishe umuoe. Tii kiu yako
Ebu bro pata picha kama wewe ni rijali na mtu dakika chache alikwambia anasikia baridi atupe nguo zote mpaka ch*p* live unategemea nini?