Mahousegirl Wengine Mmh!

Mahousegirl Wengine Mmh!

Michael Scofield

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2011
Posts
1,225
Reaction score
473
Nipo kikazi katika mkoa mmojawapo kaskazini ya Tanzania, kwakuwa nyumba niliyopewa kuishi ni kubwa, imenibidi nitafute msaidizi wa kazi za nyumbani.
Nimepata msichana ana wiki ya 2 sasa tangu aanze kazi lakini naona ananiingiza majaribuni!

Bahada ya kumuonyesha sehemu ya kulala, akaogopa na isitoshe akadai kuna baridi sana ni bora aje alale sebureni kwangu. Alivyolala sebureni kufika usiku akasaula nguo zote eti kuna joto sana!
Mbaya zaidi tangu majuzi nimebanwa na malaria, ndio kakomaa chumbani eti anamuuguza mgonjwa! Sasa hizo touching! unajisikiaje mara unapimwa joto la mwili kifuani, mara kwenye garden love kunapapaswa.

Huyu si anataka ukimuacha akawatangazie watu jamaa si rizki?
 
Bora akakutangaze si rizk kuliko utakayo yapata, tena mwambie afanye adabu ajue mipaka yake, laa umeshaanza kukolea utajiju.
 
Kama unaona anakutega we tegua, huenda binti wa wa2 hana hata hayo mawazo we ndo umejishtukia 2. kila m2 anautamaduni wake wa kulala wengine hawalali na nguo hata km kuna baridi nk.
 
Bahada = baada, sebureni = sebuleni, rizki = riziki.

Acha tamaa za kijinga, kama unauguzwa chukulia unauguzwa. Au fanya mchezo na wewe uozeshwe kama mwenzako ndo utajua akili yako ilipo.
Naona umekuwa kifimbo cheza mtaalam wa lugha
 
Kama unaona anakutega we tegua, huenda binti wa wa2 hana hata hayo mawazo we ndo umejishtukia 2. kila m2 anautamaduni wake wa kulala wengine hawalali na nguo hata km kuna baridi nk.

Ebu bro pata picha kama wewe ni rijali na mtu dakika chache alikwambia anasikia baridi atupe nguo zote mpaka ch*p* live unategemea nini?
 
tehe tehe tehe

The way the cookie crumbles...

Tueleze tu umeshamaliza kazi, tutakuelewa.
 
Bahada = baada, sebureni = sebuleni, rizki = riziki.

Acha tamaa za kijinga, kama unauguzwa chukulia unauguzwa. Au fanya mchezo na wewe uozeshwe kama mwenzako ndo utajua akili yako ilipo.

unajua Lizzy unajitahidi sana kurekebisha watu huku lakini bado watu hawaelimiki.
Hongera.
 
Nani huyo Da Lizzy kalambishwa ndoa ya mkeka?

Chungulia hapa. . .
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/213359-uncle-ameozwa-kwa-mdada-wa-kazi-anataka-nimshauri.html

@ Dio. . . ahsante dear.
 
"nje cup" kushiriki mara moja moja ruksa kaka...huo ni mlango wa dharura na hiyo ndio dharura yenyewe!
 
"nje cup" kushiriki mara moja moja ruksa kaka...huo ni mlango wa dharura na hiyo ndio dharura yenyewe!

Cha kike hicho unamwingiza jamaa siku akija wa ukweli wake ndio hapatoshi, si unajua tena penzi ni kikohozi...........
 
Kama anakutia majaribuni, nenda kwa wazazi wake ukajitambulishe umuoe. Tii kiu yako
 
Back
Top Bottom