Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vitu vingi vinavyotekea vilishatabiriwa kwenye bible sema interpretation ndio hutushinda otherwise tungekuwa tunachukua tahadhali mapema
Kisa kizima kinapatikana hapa 1 Wafalme 13:1-34
Kwa ufupi sana, Mfalme Yeroboamu alimtenda MUNGU dhambi, na dhambi hii ilipozidi kuwa kubwa MUNGU akamwinua Nabii MWINGINE ambaye alikwenda hadi kwa Yeroboamu na akatoa Unabii wake kama alivyotumwa, LAKINI aliamriwa kuwa asije akanywa wala kula kitu chochote katika nchi hii maana nchi ilikua najisi kwa kumtenda MUNGU dhambi. Baada ya kutoa unabii wake katika nchi ya Betheli akawa anaondoka kwenye nchi ile ili kuerejea kwake. Nabii mmoja Mzee wa Betheli aliposikia habari zile kwa watoto wake akamfuata hadi alipokutana naye njiani huko na kumsihi yule nabii arudi nyumbani kwake pamoja naye.
Manabii wote wawili walirejea nyumbani na kula chakula pamoja na mara baada ya kula chakula kile ndipo Roho wa Bwana alimpojia na kumkumbusha neno lile aliloambiwa, USILE wala KUNYWA. Adhabu yake kwa kutokutii neno hili ilikua ni kutokuzikwa kwa heshima yaani hatalazwa mahali walipolazwa ndugu zake, na unabii huu ulitimia kwani alishambuliwa na Simba na kuuwawa lakini Punda hakuguswa na Simba huyu.
Sasa, Mzee Siita alionekana kama Nabii, alietumwa akaiokoe Tanzania kwa kusaidia upatikanaji wa Katiba Mpya, katiba ambayo ingesaidia sana kuwatoa watanzania kwenye umaskini uliokithiri, kuonea na kuibiwa mali zao. Hakika Sitta alisimama kwenye nafasi yake LAKINI hakutakiwa kamwe kujiunga tena na kundi hili la Walafi, wenye kula na kuendekeza anasa huku mamia ya watanzania wakifa njaa na magonjwa.
Maskini, Mzee Sitta alianza vyema na kwamba MUNGU alilenga kumwinua zaidi na zaidi lakini amesahau sharti lile la kujipambanua na Walafi wale, wenye Njaa na damu za watu, akarudi, akarejea na amekaaa amekula nao tena chakula cha Unajisi, hivyo amelinajisi neno lile lililowekwa ndani yake, lile alilotumwa alihubiri limemshinda. MUNGU asema hivi, ile ndoto yake ya kuwa mgombea Urais haipo tena, imeondoshwa na kwamba Jamii yake iliyomtia unajisi huu itamtenga very soon. Atakuwa na mwisho mbaya kuliko mwanzo mwema.
Lakini, analo neno la mwisho lililobaki mkononi mwake, KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA UKATUBU, NA USIPOTUBU TAZAMA NAKUJA UPESI NAMI NITAPAONDOA MAHALI PAKO PASIWEPO KAMWE.
Toa hoja mbna hueleweki ndugu?Hahahahaahahahaahsahahahahahaha kama Zitto
Toeni unafki wenu humu ndani!Sikupata bahati hiyo mpwa, kama umeyaona mahubiri hayo na nafasi inakuruhusu hebu yaweke hapa jamvini. Natanguliza shukrani Mpwa.
Wewe unatabia gani?we mwenyewe mnafiki tu si umpigie simu umwambie haya unayoyasema,unaleta hapa ili tukusaidie nini?Sitta ni mnafiki na mzandiki
Kisa kizima kinapatikana hapa 1 Wafalme 13:1-34
Kwa ufupi sana, Mfalme Yeroboamu alimtenda MUNGU dhambi, na dhambi hii ilipozidi kuwa kubwa MUNGU akamwinua Nabii MWINGINE ambaye alikwenda hadi kwa Yeroboamu na akatoa Unabii wake kama alivyotumwa, LAKINI aliamriwa kuwa asije akanywa wala kula kitu chochote katika nchi hii maana nchi ilikua najisi kwa kumtenda MUNGU dhambi. Baada ya kutoa unabii wake katika nchi ya Betheli akawa anaondoka kwenye nchi ile ili kuerejea kwake. Nabii mmoja Mzee wa Betheli aliposikia habari zile kwa watoto wake akamfuata hadi alipokutana naye njiani huko na kumsihi yule nabii arudi nyumbani kwake pamoja naye.
Manabii wote wawili walirejea nyumbani na kula chakula pamoja na mara baada ya kula chakula kile ndipo Roho wa Bwana alimpojia na kumkumbusha neno lile aliloambiwa, USILE wala KUNYWA. Adhabu yake kwa kutokutii neno hili ilikua ni kutokuzikwa kwa heshima yaani hatalazwa mahali walipolazwa ndugu zake, na unabii huu ulitimia kwani alishambuliwa na Simba na kuuwawa lakini Punda hakuguswa na Simba huyu.
Sasa, Mzee Siita alionekana kama Nabii, alietumwa akaiokoe Tanzania kwa kusaidia upatikanaji wa Katiba Mpya, katiba ambayo ingesaidia sana kuwatoa watanzania kwenye umaskini uliokithiri, kuonea na kuibiwa mali zao. Hakika Sitta alisimama kwenye nafasi yake LAKINI hakutakiwa kamwe kujiunga tena na kundi hili la Walafi, wenye kula na kuendekeza anasa huku mamia ya watanzania wakifa njaa na magonjwa.
Maskini, Mzee Sitta alianza vyema na kwamba MUNGU alilenga kumwinua zaidi na zaidi lakini amesahau sharti lile la kujipambanua na Walafi wale, wenye Njaa na damu za watu, akarudi, akarejea na amekaaa amekula nao tena chakula cha Unajisi, hivyo amelinajisi neno lile lililowekwa ndani yake, lile alilotumwa alihubiri limemshinda. MUNGU asema hivi, ile ndoto yake ya kuwa mgombea Urais haipo tena, imeondoshwa na kwamba Jamii yake iliyomtia unajisi huu itamtenga very soon. Atakuwa na mwisho mbaya kuliko mwanzo mwema.
Lakini, analo neno la mwisho lililobaki mkononi mwake, KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA UKATUBU, NA USIPOTUBU TAZAMA NAKUJA UPESI NAMI NITAPAONDOA MAHALI PAKO PASIWEPO KAMWE.
We si mtu mzima?mpigie simu umwambie,haya uliyoyasema hapa umwambie!yaani unaweka imani yako kwa mtu, eti ametumwa akaiokoe Tanzania kutoka wapi?? Umelaaniwa wewe unayemtegemea mwanadamu na kumfanya kuwa kinga yako!!!! Afu unajifanya nabii wa uongo kuanza kutabiri na kutangaza hukumu wapi na wapi inaelekea umetumwa wewe kuchanganya maandiko! Huyo mzee nani alimtuma? Na wapi kuna maagano ya kutumwa kwake kuiokoa Tanzania??.usitutaabishe hapa kwa kujifanya nabii wa uongo!!!!
Kaingiza siku yako!!!hahahahaa keshaingiza siku tayari huyo eeeh
Mpwa mbona mada ya zamani sana hii? Kojoa ulale bhana acha kutoa povu saa hizi. Huu ni mjadala sio ugomvi bhana[/QUOTE
Kama ni ya zamani mbona umekurupuka kujibu?? Tutawatambua tu kwa matendo yenu manabii wa uongo,umevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni jibwa!!, ha ha ha ha huo unabii wako kautoe Somalia hapa Tz hatukuhitaji mnafiki wewe na nabii wa uongo umezoea kutapeli watu kwa kuwatabilia uongo msaka tonge mkubwa wewe!
Je......!!!!! Unajuwa kwamba kifo kiko karibu yako saana kuliko nguo uliyoivaa.....??
Buku 7 tayari kwa leo!
Mkuu Elli, ubarikiwe sana kwa neno la ukombozi. Bwana 6 hana tofauti na mke wa Lutu aliyetakiwa kuondoka mji wa Sodoma, mji ulikokuwa umekithiri kwa uzinzi na uasherati, na akaambiwa na Mungu kwamba aondoke straight away bila kuangalia nyuma. Lakini kwa kunogewa na anasa za Sodoma, mke wa Lutu aligeuka nyuma na ghafla akabadilika kuwa mnara wa chumvi (Genesis 19:26). Kwa hivyo basi Bwana 6 asahau kabisa ndoto zake za kuwania urais mwakani na kuna hatari hata ubunge akaukosa. Nafasi finyu iliyokuwa imesalia katika ndoto zake za kuwania urais ndio imegota ukingoni. Mzee huyu ni ‘mtu mzima ovyo' na hafai hata kuwa kiongozi wa kijiji. Kwa kauli zake hizi za kipuuzi, amejimaliza kabisa kisiasa.
This is completely out of context. Nani kahubiri hayo au ni wewe unajifunza kuhubiri. Kama unajifunza basi nikwambie umeanza vibaya. Na kama ni kiongozi wako ndo kahubiri hivyo basi inabidi umuulize Mungu kama hicho alicholinganisha je vinalinganishwa. Kwa kweli hapo kama ni waumini hapo umeyeyushwa ili ujumbe wa uasi kuhusu Katiba Inayopendekezwa upitishwe au upenyezwe. Kama una sababu ya kiteolojia itoa nami nitakupa homiletics. Nakusubiri.Kisa kizima kinapatikana hapa 1 Wafalme 13:1-34
Kwa ufupi sana, Mfalme Yeroboamu alimtenda MUNGU dhambi, na dhambi hii ilipozidi kuwa kubwa MUNGU akamwinua Nabii MWINGINE ambaye alikwenda hadi kwa Yeroboamu na akatoa Unabii wake kama alivyotumwa, LAKINI aliamriwa kuwa asije akanywa wala kula kitu chochote katika nchi hii maana nchi ilikua najisi kwa kumtenda MUNGU dhambi. Baada ya kutoa unabii wake katika nchi ya Betheli akawa anaondoka kwenye nchi ile ili kuerejea kwake. Nabii mmoja Mzee wa Betheli aliposikia habari zile kwa watoto wake akamfuata hadi alipokutana naye njiani huko na kumsihi yule nabii arudi nyumbani kwake pamoja naye.
Manabii wote wawili walirejea nyumbani na kula chakula pamoja na mara baada ya kula chakula kile ndipo Roho wa Bwana alimpojia na kumkumbusha neno lile aliloambiwa, USILE wala KUNYWA. Adhabu yake kwa kutokutii neno hili ilikua ni kutokuzikwa kwa heshima yaani hatalazwa mahali walipolazwa ndugu zake, na unabii huu ulitimia kwani alishambuliwa na Simba na kuuwawa lakini Punda hakuguswa na Simba huyu.
Sasa, Mzee Siita alionekana kama Nabii, alietumwa akaiokoe Tanzania kwa kusaidia upatikanaji wa Katiba Mpya, katiba ambayo ingesaidia sana kuwatoa watanzania kwenye umaskini uliokithiri, kuonea na kuibiwa mali zao. Hakika Sitta alisimama kwenye nafasi yake LAKINI hakutakiwa kamwe kujiunga tena na kundi hili la Walafi, wenye kula na kuendekeza anasa huku mamia ya watanzania wakifa njaa na magonjwa.
Maskini, Mzee Sitta alianza vyema na kwamba MUNGU alilenga kumwinua zaidi na zaidi lakini amesahau sharti lile la kujipambanua na Walafi wale, wenye Njaa na damu za watu, akarudi, akarejea na amekaaa amekula nao tena chakula cha Unajisi, hivyo amelinajisi neno lile lililowekwa ndani yake, lile alilotumwa alihubiri limemshinda. MUNGU asema hivi, ile ndoto yake ya kuwa mgombea Urais haipo tena, imeondoshwa na kwamba Jamii yake iliyomtia unajisi huu itamtenga very soon. Atakuwa na mwisho mbaya kuliko mwanzo mwema.
Lakini, analo neno la mwisho lililobaki mkononi mwake, KUMBUKA NI WAPI ULIPOANGUKA UKATUBU, NA USIPOTUBU TAZAMA NAKUJA UPESI NAMI NITAPAONDOA MAHALI PAKO PASIWEPO KAMWE.
Mzee Sitta anakuhusu nini wewe soma Katiba Inayopendekezwa, fuatilia mijadala kwenye vyombo mbali mbali ili ujifunze na uelewe mambo mazuri yaliyomo katika katiba hiyo. Kama una hoja karibuMkuu Elli, ubarikiwe sana kwa neno la ukombozi. Bwana 6 hana tofauti na mke wa Lutu aliyetakiwa kuondoka mji wa Sodoma, mji ulikokuwa umekithiri kwa uzinzi na uasherati, na akaambiwa na Mungu kwamba aondoke straight away bila kuangalia nyuma. Lakini kwa kunogewa na anasa za Sodoma, mke wa Lutu aligeuka nyuma na ghafla akabadilika kuwa mnara wa chumvi (Genesis 19:26). Kwa hivyo basi Bwana 6 asahau kabisa ndoto zake za kuwania urais mwakani na kuna hatari hata ubunge akaukosa. Nafasi finyu iliyokuwa imesalia katika ndoto zake za kuwania urais ndio imegota ukingoni. Mzee huyu ni mtu mzima ovyo na hafai hata kuwa kiongozi wa kijiji. Kwa kauli zake hizi za kipuuzi, amejimaliza kabisa kisiasa.