Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
I told you for the sake of state affair dini ni silaha kubwa mno kwa waumini,mauwaji,kuvunjiana heshima n.k havipo mbali ukichanganya na dini.Kwa nini unasapoti mkuu.
Hebu toa sababu usisapoti vitu kwa hisia 😎.
Lakini kukemea maovu bila kujalisha anayeyafanaya ni Moja kati ya kazi ya viongozi wa dini.I told you for the sake of state affair dini ni silaha kubwa mno kwa waumini,mauwaji,kuvunjiana heshima n.k havipo mbali ukichanganya na dini.
Dini ni mbingu/ulimwengu na siasa ni dunia...Tusichanganye hivi vitu viwili tutaumia.
Wao ndio waliochanganya dini na siasa.Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
watu wanakengeuka ujue,hii modwrnazation inawasumbua,kikichafuka lissu hatokuwepo hapa.Hii nairudia saaana, kuna watu hii amani tuliyonayo wameikinai wanataka wajaribishe radha ya vita, kiufupi maisha ya Gaza na Congo mashariki,Sudan wanayatamani saaana
Wanasahu kuvuruga amani ni rahisi saana, kasheshe kuirudisha hiyoo amani iliyokuwepoo
Kauli. Wapo tayar kufanya lolote ili watimize matakwa yao.Hii nairudia saaana, kuna watu hii amani tuliyonayo wameikinai wanataka wajaribishe radha ya vita, kiufupi maisha ya Gaza na Congo mashariki,Sudan wanayatamani saaana
Wanasahu kuvuruga amani ni rahisi saana, kasheshe kuirudisha hiyoo amani iliyokuwepoo
Majeshi yote na idara zake zote yamejikita kwenye siasaNaweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Je mbona nazo siasa zimekuwa utekaji na uuwaji nazo athari ni zipi?Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.
amani ipi mkuu hii ya kupotea mtu mmoja mmoja ama kwa kuwa hakuna nduguyo aliye potea unaona uko na amani sanaHii nairudia saaana, kuna watu hii amani tuliyonayo wameikinai wanataka wajaribishe radha ya vita, kiufupi maisha ya Gaza na Congo mashariki,Sudan wanayatamani saaana
Wanasahu kuvuruga amani ni rahisi saana, kasheshe kuirudisha hiyoo amani iliyokuwepoo
Mungu wa Yakobo akubariki sana. Bado tuna watu kama nyie wanaoweza kutazama vitu objectively bila mihemko.Nakubaliana na wazo lako kwa 100%
SABABU NI HIZI
1, Historia inaonyesha kuwa karne ya 5 dini na serikali/siasa zilipochanganywa mamilioni ya watu waliuawa
2. Maandiko yanasema ya Kaisari mpeni Kaisari na ya MUNGU mpeni MUNGU
3. Viongozi wa dini ndio neutral ground ambapo watu wote watapata kimbilio
Hii haina maana ya kuwa serikali iko sahihi laa, na pia viongozi wa dini wana nafasi ya kuita kiongozi wa serikali na kumpa ushauri na mtazamo mwema .
Sasa hivi kiongozi wa dini ni mwana siasa na anasema uongo. mfano mwanasiasa alisema kuwa akiwa mbunge atawapeleka watu nje ya nchi kujifunza na hajapeleka mtu wala aliyosema hajafanya. Hii inamuondoa kama kiongozi wa kiroho wa watu
Naweza kusapiti maamuzi yaliyochukuliwa kufungia baadhi ya Makanisa kwa sababu za kiusalama,tusijipofushe kwa ujinga wa watu wachache dini na siasa zinatakiwa kutenganishwa athari yake ni kubwa sana.