Mahudhurio AFCON U-17 baada ya kufuta Viingilio

Mkwala

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,243
Wasalaaam
Kama tunavyofahamu fainali hizi zilianza jana kwa timu yetu Serengeti Boys kufungwa 5-4 dhidi ya Nigeria.Hata hivyo jana kulikuwa na mahudhurio HAFIIIIIFU (Dhaifu Sana) hii inatokana na uwepi wa Viingilio.Cha kushangaza TFF&Wizara wametangaza kuanzia leo ni Uhuru wako na Mahudhurio ni Mazuri sana.Sasa nimejiuliza hawa Wasimamizi jana walishindwaje kuruhusu WAZALENDO wapenda soka wakatie HAMASA pasipo kuwa na kiingilio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hilo lilikuwa Kosa la kwanza. Kosa la pili... Mashindano yanaenda sambamba na TPL... SIMBA yupo njiani kwenda Tanga, Azam anaanza safari ya Mtwara... Yanga Sijui wapi... Watu attention kwa timu zao!

Huu ndio msimu wa midterm holiday kwa primary & sec sch, so wangejipanga kusomba wanafunzi Kutoka mashule ya DSM, Bagamoyo, Kisarawe, Kibaha n.k na kuwapeleka viwanjani na kuwarudisha... Bureee!

Ni ngumu sana kwa watu Wazima wenye Mapenzi na soka... Wakaacha kuangalia TPL za timu zao... wakaangalie madogo wa U17!
 
ha ha ha mkuu
 
Kuwa buree ni nzuri sana hiki ni kipindi cha likizo wanafunzi wengi watawapata.

Mti wenye matunda.
 
ha ha ha mkuu
serious Mkuu... South Africa Ktk WC 2010 iliwapata aibu hii.... Tena kwao ilikuwa mby zaidi coz ilikuwa ni WC yenyewe... Wasouth Africa walikuwa wanajaa ikicheza Bafana Bafana tu..... Na Wao km sisi... Fasta wakaanza kuingiza watoto wa shule kwenye games za mataifa Mengine!
 
Mechi ya ufunguzi walibugi sana..uwanja mweupee..sasa kama game ijayo mnyama atakua uwanjani wakati huo na wao watakua wanamenyana na Uganda...
 
tuanzie hapo kwenye TPL, kwahiyo mzee ulikuwa una suggest ligi isimame au vipi??

mwezi uliyopita kulikuwa na mashindano ya ulaya kama si U19 basi ni U17 je ulikuwa una taarifa na hili?? mbona mashindano mengine yaliendelea huko ulaya ambapo tunawaiga kila kitu.
 
Ningeshangaa sana kama kungekuwa na kiingilio.
Kiingilio kwenye UMITASHUMTA/ UMISETA?
Walijisahau wakafikiri ni game ya AFCON kama ya UG cranes vs Taifa [emoji93] ya mwisho ile....bila kujua hii ni UMISETA Kama unavosema[emoji3], uchumi sio mzuri au kwa kua wao hawalipagi viingilio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Slim 5 , hii ya kusomba na malori sisi tunaiweza wakati wa kila baada ya miaka dala dala,...ilikua 2015 jumlisha tano hapo ndio tusubir, hizi ni specialization za watu for public image. Ila umesema kweli wale watu wangetafutwa mapema wangewasaidia....na isitoshe kama game ya Nigeria uwanja ungejaza na amsha amsha tungetoboa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilikuwa hata sijui kama kuna hayo mashindano.

Tusije tukaishia kuwa wapenzi wenyeji watazamaji tu
 
April 15, 2019
Dar-es-Salaam, Tanzania

Morocco 1-1 Senegal All Goals & Full Highlights | U-17 Africa Cup of Nation


Source: Africa Champions
 
April 15, 2019
Dar es Salaam, Tanzania

Guinea 0-2 Cameroon All Goals & Full Highlights | U-17 Africa Cup of Nations


Source: Africa Champions
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…