Mkwala
JF-Expert Member
- Sep 30, 2014
- 1,164
- 1,243
Wasalaaam
Kama tunavyofahamu fainali hizi zilianza jana kwa timu yetu Serengeti Boys kufungwa 5-4 dhidi ya Nigeria.Hata hivyo jana kulikuwa na mahudhurio HAFIIIIIFU (Dhaifu Sana) hii inatokana na uwepi wa Viingilio.Cha kushangaza TFF&Wizara wametangaza kuanzia leo ni Uhuru wako na Mahudhurio ni Mazuri sana.Sasa nimejiuliza hawa Wasimamizi jana walishindwaje kuruhusu WAZALENDO wapenda soka wakatie HAMASA pasipo kuwa na kiingilio.
Sent using Jamii Forums mobile app