Mahudhurio ya watoto kwenye mkutano wa Rais Magufuli Jijini Mwanza maana yake nini?

Mtoa mada huna akili, ukiangalia hapo umri gani ndio wengi zaidi.? Upinzani lazima mpakatwe uchaguzi huu.
 
Wasanii walikuwapo? Tuanzie hapo
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole.....
Hii ccm ni chama cha kishetani kabisa
 
Ni upendo wa hali ya juu wa watanzania kwa Magufuli
 
Sidhani kama kuna mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kuwapa kura ccm.
kwanza wapiga debe wa ccm wengi wamejichokea na maisha yaani wapigika mpka huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…